The great R
Senior Member
- Jun 7, 2011
- 142
- 37
Mama mmoja na familia yake baada ya chakula cha mchana akaauliza watoto wake,jamani mbona toothpick kila nikinunua zinaisha haraka? House gal akajibu,labda uwaulize wanao maana mimi kila nikimaliza kutumia huwa narudisha.