Mndengereko
JF-Expert Member
- Mar 24, 2011
- 7,326
- 3,446
mkasa uliotokea nchini Congo ..Wapenzi hawa wawili
waliamua kuchukua jukuma la kujinyonga kwa
kujininginiza kwenye mti hadi kufa baada ya wazazi wa
mvulana kukataa mtoto wao asimuoe msichana huyo..Baada
ya jitihada zao za kuwashawishi kushindikana
basi waliamua kuchukua hatua hiyo ya kujinyonga .
Wazazi tuwe makini na maamuzi yetu mbele ya watoto
SOURCE:TOO SAD:WAPENZI WAJINYONGA KWA PAMOJA BAADA YA KUKATALIWA KUOANA | This is Diamond