Too good Looking to get a boyfriend

Muongo! Sasa mbona single mother? Asimulie ilikuwaje? Yawezekana mbwembwe na maringo na Tania chafu ndio chanzo
 
You nailed it,hiyo ndiyo fact,wapo kwa ajili ya kupigwa
 
Tatizo mbwembwe nyingi hizo naona zinawafelisha mabiutifuli.
 
mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!
 
wao raisi saaan ukitaka kutulia na dada mrembo saaana au mzuri saaana piga mimba atatulia awezi kuangaika na jitumbo aki za akika sawa ukiona anaanza dharau mtie ya pili yani mwendo huo huo ata acha mwenywe tuh ni hayo mkuuu
Ushauri murua kabisa
 
Akaombewe inawezekana ana spiritual husband ambaye hataki awe kwenye relation coz ni wife wake hili tatizo wadada wengi wanalo lakini mpaka ajue anahitaji kusugua goti kumuomba Mungu.
 
Hakuna mkate mgumu kwenye chai!
mbona mdada mwenyewe ni wa kawaida uzuri wake upo wapi hadi tuujadili? huyu sisemi ni mbaya ila ni wa kawaida na kama ana tabia ya kuorodhesha shida kwa wanaume pengine ndio maana wanamkacha!


Haha, sidhani kama ana shida mkuu.
Tatizo lake kubwa ni anataka kutulia na mwanaume lakini madai yake ni kwamba hawamchukulii serious ki hivyo wanapokutana zaidi ya kushangalia Uzuri wake, na kuongea yasiyo maana kama wako date.
 
...... All is takes is the right balls. Not cry babies insecure about their grasp on the women in their lives.
 
Duh!, Aisee. Heri yangu.🙂
Tatizo hao nao ukiwambia wanaringa huwa hawajijui. Kwahiyo mwanamke mrembo uweze kupata mwanaume wa kuji commit kwako unapaswa kuwa na kazi ya ziada ya kumuonyesha hauringi na huna kiburi
 
Unajua wengi wanajionaga wazuri ila uzuri tunaosema ni ule unaoonwa na wengine.
Kwahiyo naweza jiona mzuriii kumbe we unaniona boonge la kituko[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…