Kuna mixer nyingi sana siku hizi ...ila zimepewa majina mazuri mazuri... Eti mkia wa jogooMungu wangu hao watakaogusa hii mixer.....!!!!
Mungu wangu hao watakaogusa hii mixer.....!!!!
Mshana Jr.......kabanga....!!!!
MPE kilevi maskini asahau matatizo yake!?