Kwa hapo mshana jr shikamoo, nimekaribia, Opener plz.........!!!!!!!!!
Kwa hapo mshana jr shikamoo, nimekaribia, Opener plz.........!!!!!!!!!
KikulachoChako leo ni siku ya kuabudu na kutubuMkuu mshana jr umeshanikata stimu...mimi nilidhani ni yale mambo yangu....dah..ngoja nikalale tena...
KikulachoChako leo ni siku ya kuabudu na kutubu
Hahahahaaaa kesho si mbali ati vuta subira tasavali, halafu lero usioge
Hahahahaaaa mzima weye lakini?
Duu pole sanasana naamini ilikuwa ni mtu wa karibu kwako