Tongoza kistaarabu

Tongoza kistaarabu

Kashindi

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
349
Reaction score
250
Baada ya kusema maneno haya me ache afanye maamuzi meenyewe. Usitake kulazimisha bwana.

I"'m sorry cath..do u have a boyfriend?
Cath..yea i do
Mmmh..really?
Cath...yes of course
OK don't bother..i love u too but because u have a boyfriend, i think I'm late but i cant force u. I would like to have a chance to u. My instinct always assures my love to u. If u don't have a boyfriend I'm here for u and also if ur not satisfied with the way ur boyfriend treats u, please give a chance. I'm sure that my emotions feelings to not deceive me. I can really handle ur love. May u please consider my request. Thanks for ur time."
 
kutongaza kistaarabu ndo kukoje...or ..ulitaka akutongozeje..
 
Mimi huwa namshangaa mtu anayetaka kutongoza anaanza kwa kuuliza kama una boyfriend.....inakuhusu nini? We mwaga sera binti ndo anajua.....jibu utalipata ktk kukataliwa au kukubaliwa...
 
Yeah..ni vizuri kuanza na swali hilo. Kwani Huwezi jenga palipojengwa bila kujua kama pamejengwa.
 
Ww si unapenda kupandanisha kontena
 
[/B]
Hahaaaaa!!!
Hiyo umesema wewe best,sikujua MPESA ina speed up kukubaliwa!!!!

^^
Ha ha ha, zile ngonjera za, unajua Eni,, kwako sina namna, nimezama kwako, siwezi kusema, pozi lako la mkono shavuni haliishi ndotoni, Umbo lako zuri kama Miss Malaika, nipe nafasi basiii... (ngonjera hizo, bado zinafaa kweli?)
^^
 
Yeah..ni vizuri kuanza na swali hilo. Kwani Huwezi jenga palipojengwa bila kujua kama pamejengwa.

Mtu hadi akukubalie anakuwa amevutiwa na wewe.....sasa kama mtu amevutiwa na wewe hata ukimuuliza atakwambia sina ili afanye replacement...ukweli anao yeye
 
^^
Ha ha ha, zile ngonjera za, unajua Eni,, kwako sina namna, nimezama kwako, siwezi kusema, pozi lako la mkono shavuni haliishi ndotoni, Umbo lako zuri kama Miss Malaika, nipe nafasi basiii... (ngonjera hizo, bado zinafaa kweli?)
^^
Sidhani kama ningesubiri umalize best,ndefu mno!!!
Ungefika hapo penye blue tu mie ningeanza safari maana kama huwezi kusema unaweza anza kulia nami uchuro sitaki!!!!
 
Mimi huwa namshangaa mtu anayetaka kutongoza anaanza kwa kuuliza kama una boyfriend.....inakuhusu nini? We mwaga sera binti ndo anajua.....jibu utalipata ktk kukataliwa au kukubaliwa...

You can say that again...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom