bullar
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 10,855
- 24,893
Sikiliza wewe binti umenipa hasira ya kuchanga sasa hivihalafu ambao hamjachanga hata buku tu tone tone mnakuaga na viherehere kweli kumbwelambwela jukwaani,
hivi hua ni kwanini gentleman?🐒
Sikiliza wewe binti umenipa hasira ya kuchanga sasa hivihalafu ambao hamjachanga hata buku tu tone tone mnakuaga na viherehere kweli kumbwelambwela jukwaani,
hivi hua ni kwanini gentleman?🐒
we dada,Sikiliza wewe binti umenipa hasira ya kuchanga sasa hivi
ukichangia laki 3 si utakufa hapo hapo wewe?Nimechanga laki 3 unafkiri mimi
mpaka nikusanye buku 7 kama wewe😎
Pambanieni kombe lenu huko!
View attachment 3655687
Kwahiyo humu jf mnajua masalio ya members? Acha zako mzee..ukichangia laki 3 si utakufa hapo hapo wewe?
kawadanganye watu wa nje ya JF tafadhali 🐒
Ndio Maana Ukiwagusa TU wanatukana Matusi Utafikiri Vichaa au wendawazimukwakweli inatia huruma sana aise
CHADEMA wana kiwanda cha kuzalisha Matusina suala la chadema kama chama kukumbatia matusi na mafisadi, limechangia pakubwa watu wastaarabu kusita na kususa kuchangia hiyo tone tone
None senseHii ni fedheha kwa uongozi wa kitaifa wa chadema. Ingekua ni Ulaya wanapaswa kujiuzulu.
Ni wazi chama kimewashinda.
Swali ni je, hivi ni kweli viongozi wa chadema taifa wameshindwa kabisa kuhamasisha wana chadema kuchangia milioni 334 tu? Au hawakubaliki wala hawaheshimiwi tena na wanachama wao?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
View attachment 3653976