Toleo jipya la Android kuitwa KitKat na sio Key Lame Pie

wahindi sasa hivi wanapiga kelele wanataka version inayokuja jina litole kwao iitwe ladoo (bongo tunaita ladu) yale kama makashata ya duara yenye sukari

basen-ladoo25.jpg

inabidi ikifika m na sisi africa mashariki tukazanie maharage yawepo
 
they're actually naming them after America's favorite deserts, unless Chief utengeneze our own OS asee 😀
 
wahindi sasa hivi wanapiga kelele wanataka version inayokuja jina litole kwao iitwe ladoo (bongo tunaita ladu) yale kama makashata ya duara yenye sukari

basen-ladoo25.jpg

inabidi ikifika m na sisi africa mashariki tukazanie maharage yawepo

Maharage mkuu sidhani kama Google watakubali
 
Ila kashata au ufuta ingependeza maana hawa si wanapenda. Majna ya v2 vtam

Kashata ndo isha pita KitKat labda hiyo Ufuta sijuindo mwaka gani itakua May be na OS ya android itakua imeshamiri zaidi hapa nyumbani
 
Hayo matoleo yanakuja tu baada ya muda mfupi na sababu kuu ya kufanya hivi ni hofu ya ushindani. iOS aki_upgrade utaskia android kajibu yani ni bandika bandua (windows ye hana haraka akitoa kitu kinakaa muda mref lakini kinahimili misukosuko ya ushindani). Developers hawalali kila siku wanaumiza vichwa kuboresha product zao ili ziendane na mahitaji ya soko la sasa kwani hakuna anaetaka aachwe nyuma na ni faida kwa wateja kupata cm kwa bei nafuu sababu hata kama wamezi-launch kwa bei ya juu lakini baada ya miezi michache tu unazipata uswazi kwa bei ya nyanya tofauti na zamani.
 
you say it as if its a bad thing 🙂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom