Kizazi cha whatsapp, FB, Instagram ni shidaaa!
Eti anataka kuwa modo wakati kichwani ni empty set!
Huyo ana sound kama mtoto wa dada angu kbs, yeye kakazania umodo kusoma hataki na kweli tangu aanze shule hajawahi kufaulu! Form 4 BRN kapata D moja.., kapelekwa chuo baada ya kurudia baadhi ya masomo nako anashika nafasi ya mwisho kati ya wanafunzi wote!!!
Ushauri kwako my name is my name: Kwa sasa unaweza ukaona wazazi wako ni wabaya kwa kukulazimisha kusoma, ila kumbuka dunia ya sasa bila elimu haendi kabisa! Kama akili ya kujituma darasani huna ya huo UMODO utaitoa wapi? Umodo unatakiwa kuwa mbunifu, kujituma na sio kuonyesha tu machejo stejini!! Sikiliza na fuata ushauri wa wazazi, hata kama udakitari huwezi fikiria kile ambacho kitakusaidia kusimama kwa miguu yako mapema zaidi kuliko umodo ambao kwa Tz haujakua kiasi cha kuwapa ajira vijana wengi!
Kila la kheri na kumbuka; ASIYEFUNZWA NA ***** HUFUNZWA NA ULIMWENGU AU MKATAA PEMA PABAYA PANAMWITA!
Ukingundua una toto pumbavu kama hili lipeleke kijijini likakae huko unamkatia line zote za pesa kama mwaka hivi likirudi heshima na adabu, halafu unamwambie anataka u modo au shule? wazazi wanatupa pesa wewe unashinda JF halafu unalalamika akili huna utazipata wapi muda wa kujisomea wewe upo upo tu, matoto mengine buana tunatoa maradhi tumboni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.