tokea nianze kusoma sijawah kufaulu. nlikuwa nafaulu vzur strd 1 mpk 3 baada ya hpo sijawah kufaulu tena. npo grade 9, spendi kabsa kusoma wazaz wananlazmisha. wanataka nwe daktar, wanajua uwezo huo sna lkn bado wananlazmisha. mwnywe nataka nwe model. nliwah kumwambia ivyo maa, hakunijbu ktu lakin anaendelea kusema anataka nwe daktar. kwann wazaz mnapenda kulazmisha watoto?
Dogo una balaa sana. Ulisema unataka kubadili imani uwe muislam, right? Sasa Uislam na kuwa model wapi na wapi?
Huyu yupo kipindi cha mpito.....na kakiingia vibaya
Dogo, nimekuelewa. Huo ni aina ya ulemavu unaitwa "USONJI". Mimi ni mtaalam wa utambuzi wa mapema kwa watoto wenye ulemavu.Watu kama nyie mpo wengi na uwezo wa kujifunza huisha hilo darasa la tatu. Ila kwenye fani nyingine huwa mnamudu vizuri hasa zile ambazo hazihitaji kuingia darasani. Waeleze wazazi wako darasani umefika mwisho wa kujifunza.tokea nianze kusoma sijawah kufaulu. nlikuwa nafaulu vzur strd 1 mpk 3 baada ya hpo sijawah kufaulu tena. npo grade 9, spendi kabsa kusoma wazaz wananlazmisha. wanataka nwe daktar, wanajua uwezo huo sna lkn bado wananlazmisha. mwnywe nataka nwe model. nliwah kumwambia ivyo maa, hakunijbu ktu lakin anaendelea kusema anataka nwe daktar. kwann wazaz mnapenda kulazmisha watoto?
My maa!!
Wewe now una miaka mingapi?
ukiwa modal ndo inakuaje?
unamjua model gani Tanzania na analipwa sh ngapi kwa mwezi
wazazi wako wanakosea kukulazimisha kitu hupendi na huwezi
na wewe unajidanganya kuwa Tanzania kuna fani mtu analipwa inaitwa model
utaishia kufanya ukahaba tu ...hao ma designer wengi ni makuwadi tu wa wadada
hao wengine kina Masogange i am sure unajua biashara wanazofanya...
Hutaki kuwa daktari basi anza kufikiri fani ya ukweli utakayotumia akili yako
kujipatia kipato halali.....
sio ujifanye model uishie kubebeshwa madawa na kujiuza kwa madeshee
Wewe acha upuuzi!!
Nenda shule hata kama sio daktari kuna mengine yakufanya
Modeling ni mahangaiko tu
aiseeee hebu ni pm ili nifanikishe malengo yako tafadhali
Nenda shule ya umodo
Reina Princess Mugizi:biggrin1: