my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
Tokea nianze kusoma sijawah kufaulu, nlikuwa nafaulu vizuri strd 1 mpk 3 baada ya hpo sijawahi kufaulu tena nipo grade 9, spendi kabsa kusoma wazazi wananlazmisha wanataka niwe daktari, wanajua uwezo huo sana lakini bado wananlazmisha mwenywe nataka niwe model. Niliwahi kumwambia ivyo maana, hakunijbu kitu lakini anaendelea kusema anataka nwe daktari. kwanini wazazi mnapenda kulazimisha watoto?