Toka Nyoso afungiwe, wamejiachia

Toka Nyoso afungiwe, wamejiachia

Mbona wameshika hizo sehemu Nyoshi alikua akizitumia nn siwaelewi hawa jamaa
Ni nyosso sio nyoshi, anatabia ya kuwapiga madole wenzie kwa jinsi hao walivyojimanua nyosso angekuwepo angefurahi kwa raha zake
 
Hii game Yanga walicheza na Mbeya City timu ambayo Juma Nyoso alikuwa/anachezea. So, walichokifanya Yanga baada ya kufunga goli ni kuleta utani/dhihaka/kejeli kwa beki huyo aliyefungiwa + plus timu yake kwa kutumia tafsida hiyo.
 
Back
Top Bottom