wapi Juma Nyosso
wanamchokoza nyoso
Yuko pembeni ya hawa jamaa ana wachabo tu kwa jicho la husda.wapi Juma Nyosso
ha ha haha ha
ahaaa...kweeli kabisa, ngoja wathubutu kufanya hivi sehemu
ambazo nyoso ameingia uwanjani kama shabiki waone moto wake.
ahaaaaa.....Denda limamtoka
mkuu watu wataweka mgomo uwanjani....kwani hakuna atayetaka kukabana nae uwanjani.Kwa tabia hii naishauri tiefuefu imfungulie tu Nyosso(kidding)
Hata akifunguliwa waendelee kufanya hivi hivi