xng hua
JF-Expert Member
- Sep 24, 2016
- 3,302
- 5,378
ndomaana tunajificha humuUtoto raha sana!
we unafkir hizi story nazipiga na nani mtaani kwa umri wangu?
ndomaana tunajificha humuUtoto raha sana!
Marehemu kafa kwa changamoto za kukojoaUchumi wa kati ni mgumu sana
Hizo 8 zitakutokea puani ufe
😂😂😂Jaribu kulala na mwanaume mpaka asubuhi.
Tatizo limeanzia hapoabove 35 ila ka nimebalehe jana yani
anatak kumkomoa mwanamkeMarehemu kafa kwa changamoto za kukojoa
Sisi tuliooa tuna comment wapi?
Ongeza meat meatKumbe wewe Kama Mimi tu.
Niko vzr Tu.Tatizo gani mkuu....
au ukh.anithi?
Ndiwo Kipendhiiihaaaah mommy ni wee umeandika au?
Iyo paragraph ya mwisho ni maneno tu hayo tuulize sisi makonkodi tutakwambia kwenye ground vitu ni tofauti mzeeNina miaka 27 nimewahi kufanya mapenzi Mara nyingi tu na madada poa na baadhi ya mademu zangu huko shuleni na chuoni Ila kiukweli sijawahi kulala kitandani na mwanamke usiku kucha kwa sababu sikuwahi kuwa na geto na sijawah kupata msichana ambaye Yuko free wengi Ni getikali unapiga mzgo anarud kwao.
Pongezi kwenu wakinadada wote ambao mmekubali kulala na mwanamme usiku kucha sio Jambo dogo na nyie ma braza zangu heshimuni Sana wanawake zenu mnaolala nao hongereni Sana natamani hayo maisha siyapati.
Mahusiano yamekuwa magumu siku hizi Ni Vita na Sasa hivi Nina geto langu kabisa siku nikimuotea wangu asee nitapiga mpaka nikinai mwenyewe yaani usiku huo utakuwa mrefu Sana nitahakikisha nafidia siku zote ambazo nimekuwa mpweke nitakupigia goal Kama nane hivi ili nijipime vizuri nguvu zipo au ndo zilishapunguaga.
haya bhanaah sawa.Ndiwo Kipendhiii
Mkuu EINSTEIN112 hapa JF kila mtu kafika chuo.Watu walilala nawadada wakiwa fomu wani we unakwama wapi?? usisingizie watoto wa geti. yyani hadi chuo ulisoma na watoto wa geti??
au ulisoma chuo cha dei