Toka nizaliwe sijawahi kulala na mwanamke usiku kucha

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
9,695
2,000
Nina miaka 27 nimewahi kufanya mapenzi Mara nyingi tu na madada poa na baadhi ya mademu zangu huko shuleni na chuoni Ila kiukweli sijawahi kulala kitandani na mwanamke usiku kucha kwa sababu sikuwahi kuwa na geto na sijawah kupata msichana ambaye Yuko free wengi Ni getikali unapiga mzgo anarud kwao.

Pongezi kwenu wakinadada wote ambao mmekubali kulala na mwanamme usiku kucha sio Jambo dogo na nyie ma braza zangu heshimuni Sana wanawake zenu mnaolala nao hongereni Sana natamani hayo maisha siyapati.

Mahusiano yamekuwa magumu siku hizi Ni Vita na Sasa hivi Nina geto langu kabisa siku nikimuotea wangu asee nitapiga mpaka nikinai mwenyewe yaani usiku huo utakuwa mrefu Sana nitahakikisha nafidia siku zote ambazo nimekuwa mpweke nitakupigia goal Kama nane hivi ili nijipime vizuri nguvu zipo au ndo zilishapunguaga.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom