Toka nizaliwe sijawahi kulala na mwanamke usiku kucha

Nina miaka 27 nimewahi kufanya mapenzi Mara nyingi tu na madada poa na baadhi ya mademu zangu huko shuleni na chuoni Ila kiukweli sijawahi kulala kitandani na mwanamke usiku kucha kwa sababu sikuwahi kuwa na geto na sijawah kupata msichana ambaye Yuko free wengi Ni getikali unapiga mzgo anarud kwao.

Pongezi kwenu wakinadada wote ambao mmekubali kulala na mwanamme usiku kucha sio Jambo dogo na nyie ma braza zangu heshimuni Sana wanawake zenu mnaolala nao hongereni Sana natamani hayo maisha siyapati.

Mahusiano yamekuwa magumu siku hizi Ni Vita na Sasa hivi Nina geto langu kabisa siku nikimuotea wangu asee nitapiga mpaka nikinai mwenyewe yaani usiku huo utakuwa mrefu Sana nitahakikisha nafidia siku zote ambazo nimekuwa mpweke nitakupigia goal Kama nane hivi ili nijipime vizuri nguvu zipo au ndo zilishapunguaga.
Hata kama wewe ni mdogo fanya mpango uoe
 
Kwani bado unaishi kwa shemeji yako?
 
Na sisi ambao demu akilala siku moja anang’ang’ania ghetto hataki kutoka hata mfike serikali za mitaa tuta comment wapi!?
Imenikuta hii juzi demu kaganda getto kinouma afu pasua kichwa balaa kila muda ni wa visirani na kununa, anaweza kukuambia nakupenda ukimjibu nakupenda pia huo ni ugomvi wa siku nzima atakuuliza nakupenda pia ng'ombe, mbuzi au mbwa? Siruhusiwi hata kwenda dukani na ukizingatia mm ni mtu wa bata nikaona ntakufia getto kwangu ikabidi nitumie akili sana ili asepe
 
Acha kabsaa tena kemea hilo pepo, siku ukilala na mwanamke(ambae sio mkeo) usiku kucha jua atapata mimba, na hiyo mimba baadae utakuja kugundua sio yako

Acha kabsaaaaaaaaa subiri uoe
 
Nina miaka 27 nimewahi kufanya mapenzi Mara nyingi tu na madada poa na baadhi ya mademu zangu huko shuleni na chuoni Ila kiukweli sijawahi kulala kitandani na mwanamke usiku kucha kwa sababu sikuwahi kuwa na geto na sijawah kupata msichana ambaye Yuko free wengi Ni getikali unapiga mzgo anarud kwao.

Pongezi kwenu wakinadada wote ambao mmekubali kulala na mwanamme usiku kucha sio Jambo dogo na nyie ma braza zangu heshimuni Sana wanawake zenu mnaolala nao hongereni Sana natamani hayo maisha siyapati.

Mahusiano yamekuwa magumu siku hizi Ni Vita na Sasa hivi Nina geto langu kabisa siku nikimuotea wangu asee nitapiga mpaka nikinai mwenyewe yaani usiku huo utakuwa mrefu Sana nitahakikisha nafidia siku zote ambazo nimekuwa mpweke nitakupigia goal Kama nane hivi ili nijipime vizuri nguvu zipo au ndo zilishapunguaga.
unatamani kuyafikia mafanikio hayooo????
 
Usishindane na ulipotokea hapakomolewi pale
 
Back
Top Bottom