Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,743
- 1,735
inabidi viboreshwe....
Vipi waliojitwika majumkumu kipindi wana fedha halafu ghafla mambo yakawaendea kombo wakaishia kama Bwana Murage?Mi nilichojifunza kama huna (fedha/ hela) usijitwike majukumu,,,
Tungejitolea kama tungesikia amefiwa na mkewe tena na chakula tungepika shem