Toka mtandaoni na Martin Maranja Masese

Toka mtandaoni na Martin Maranja Masese

Acha upumbavu mkuu, unawajua wananchi wa katavi unajua khali zao za maisha yaani leo watoa 168,100 hadi dar waache toa 23400 kwa treni ama 75,000 kwa bus

alafu hakuna mwananchi aliye omba huo upuuzi (ukiweza thibitisha hili naomba nipigwe ban jf maisha yote) tamko lilitoka kwa mh. zianzishwe ruti za katavi angalau mara 1 kwa wiki

Nasema tena hakuna mwanakatavi aliye omba huo upuuzi
Labda Mizengo Pinda, RC, DC, Mbunge wa Katavi na wafanya biashara wachache ndiyo wana uwezo wa kulipa hiyo nauli. Jamani kuna maeneo yametopea kwa maskini huwezi amini kama ni Tanzania hii
 
TUSIKASIRIKIANE!

Rais wangu Magufuli:

Trump atakuwa alicheka kwanini Profesa Kabudi alipaita UDSM ni jalalani, chuo kikuu cha kitaaluma na mashuhuri kusini mwa jangwa la sahara. Trump lazima ashangazwe na hili.

Au labda Trump alishangaa ni kwa sababu gani mtu mwenye hadhi ya kuwa profesa anaimba nyimbo za kumpongeza Rais kuliko idadi ya neno 'Tanzania' katika kinywa chake.

Au labda Donald John Trumol alicheka kwa sababu una miaka minne hujawahi kukanyaga pale New York City kwenye UNGA, na mara zote umekuwa unatuma wawakilishi tu..

Au labda alishangaa kwanini Profesa Kabudi anaacha kazi chuo kikuu ya kufundisha waswahili ambao wanahitaji ukuzwaji wa maarifa kutoka kwake na kukubali kuitwa "mpumbavu" kulinda cheo cha 'uwaziri'

Marekani haina shirika la ndege linalomilikiwa na kuendeshwa na serikali (state owned). Nafikiri watu wetu watajifunza kidogo kuhusu uendeshwaji wa American Airlines Group

Rais wangu Magufui:

Sijui kwanini unadhani Trump alishangaa Tanzania kununua ndege Boeing, wakati hata Eritrea Airlines wanayo Boeing 737-300

Kwanini watushangae sisi kununua ndege kwao wakati hata Air Djibouti wanazo Boeing 737-400 na Boeing 767-200ER? Kwamba sisi ndio 'maajabu?'

Hata wasomali waliokuwa vitani waliweza kununua ndege hizo za Boeing, kwetu Tanzania haiwezi kuwa ni jambo jipya la kumshangaza Trump! Eeh! Kwanini ashangae?

Pesa ya pambano moja la Floyd Mayweather Jr keenye endorsement yote katika pambano lake vs Conor McGregor... Ndio thamani ya ndege yetu moja.. Imshangaze Trumoe? kweli?

Rais wangu Magufuli:

Kwani na mimi nikinunua Azam Malt au Mo Energy, nitakuwa daraja sawa na Said Salim Bakhresa na Mohammed Gullam Abbas Dewji?

Kwamba kwa sababu tumenunua ndege hizo (Boeing) kwa watu wa Marekani basi na sisi tumekuwa 'level' moja na hawa wamarekani? Sawa!

Kwamba, kwa sababu Trump katupongeza kununua ndege Marekani, basi sasa ni rasmi na sisi tunalingana na hao wamarekani?

Umaskini sio jambo jema. Sio jambo la kufurahia. Lakini kujimwambafai kwamba sisi ni matajiri na kutaka tutembee vifua mbele ni kutulisha chakula kizuri machoni, mdomoni hakipiti.

Rais wangu Magufuli:

Tumetumia zaidi ya bilioni 571 za kitanzania kununua ndege hii ya Boeing 787, fedha za kodi zetu.. Nani alikueleza tunahitaji ndege? Wananchi gani huko kwenye ziara wanalilia ndege?

Wanakijiji wa kijiji cha Shuka, halmashauri ya Mtama, Lindi wanalalamika hawana maji ya kutumia, wanatumia maji na wanyama, maji ni kero kwao.

Mimi na wenzangu, kwetu huko Tarime, zahanati, vituo vya afya na hospitali ni kero kubwa, kata hazina vituo vya afya, hospital ya wilaya hakuna Vifaa tiba.

Needs vs Wants.. Mahitaji makuu sidhani kama ni hayo madege,.. Hizo ni 'wants' tu. Wananchi wa Mtama wanataka visima vya maji safi na salama sio ndege hizi .

Hatuna scale of preference? Au ni lazima kununua Lamborghini ,Ferrari, Porsche, Buggati,Bentley, Aston Martin, Jaguar, Rolls-Royce, Audi, Maserati wakati wa njaa kali nyumbani?

Rais wangu Magufuli:

Kuna upungufu wa vyumba vya madarasa kwa zaidi ya asilimia 50 kwa shule za msingi na sekondari..

Kuna upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo mashuleni kwa zaidi ya asilimia 40 shule za msingi na sekondari

Kuna upungufu wa walimu wa shule za msingi na sekondari nchi nzima kwa zaidi ya asilimia 30.

Vipi upungufu wa vifaa tiba na dawa Katika hospitali za serikali kwa zaidi ya 65%?

Upungufu wa madaktari na wauguzi Katika hospitali za umma nchi nzima kwa zaidi ya asilimia 45?

Kuna kata hazina vituo vya afya, vijiji havina zahanati na baadhi ha hospitali za wilaya hazina vifaa tiba. Tumesahau?

Rais wangu Magufuli:

Umeme umefika kwa kiwango gani kwa wananchi vijijini? REA III inakuja, itamaliza vijiji vyote kwa Umeme?

Vipi nyongeza ya mishahara kwa watumishi? Mikopo elimu ya juu? Ajira? Wananchi Hawa wana uwezo wa kujiajiri wenyewe Katika sekta binafsi?

Rais wangu Magufuli:

Wapambe hawana jema. Hawatakueleza kweli, na ukweli tutakueleza sisi wengine ambao hatusubiri mrija wa mnunurisho wa asali na maziwa.

Wananchi wa Nachingwea, tunadai zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 3.4 za mazao yetu ya korosho ambayo serikali ilichukua kwetu. Mtulipe fedha zetu!

Wakulima wa mbaazi, dengu na choroko hatujui soko letu tena. Bidhaa zimeoza ndani. Naibu waziri wa viwanda na biashara alisema tule mbaazi kwa sababu ni nzuri kwa afya!

Rais wangu Magufuli:

Kwanini kila kiongozi ambaye anapata nafasi ya kupanda jukwaani mbele yako anasema ndege hizi ni zako, na yule wziri wa uchukuzi amesema hili ni wazo lako,

Ni kweli ni wazo lako? Sio matakwa ya wananchi? Hizi ndege zinaendeshwa kwa kodi ya nani kama sio hao wananchi? Zimenunuliwa na nani kama sio mwananchi?

Kiongozi wa serikali anapanda jukwaani anawananga wananchi wengine, hii ni kwamba kuna ambao hawakuchangia ununuzi wa ndege hizo? Kwamba

Rais wangu Magufuli:

Nimesikia ukisema utafuatilia faida iliyotengenezwa na ATCL. imetajwa na Kamwele kwamba ni USD14M yaani "dolari milioni 14 za kimarekani"

Kwa kweli uzifuatilie. Maana, The issue is endemic. Unfortunately. Anywhere in the world, political kleptomaniacs never put their people's interests ahead. Never. Saad

Kisha, utupe sisi "wanyonge wenzako" mrejesho, wa kimaandishi, ikikupendeza, na risiti za ununuaji ndege hizo, maana unasisitiza sana "Toa risiti: Dai risiti" ni vyema tukafanya hivyo.

Mheshimiwa Rais, nikutakie 'weekend' njema, afya tele! ni mimi mwananchi wa Tanzania, mtaani wananiita eti "jeshi" na hawataki kuacha, mimi nawaomba waendelee kuniita 'ninja' au wakishindwa 'Rambo'

Nakusalimu Tata!

#MMM, Martin Maranja Masese
Mshana jr Naona Umechanganya majukwaa wewe upo vizuri Sana kwenye majukwaa Yale ya celebrities (urembo,Mapenzi, mahusiano,jitchat & n.k)
Sijui huku jukwaaa la siasa umeletwa na upepo ule maarufu nchini maana umeandika paragraphs nyingi zilizokaa kinafik na kipambe na hii inaonyesha wazi kabisa huna hoja za kuchangia kwenye hili jukwaa linalohitaji watu makini Sana wanaofuatilia Mambo ya kitaifa na kimataifa.
Ushauri wangu; Unaheshima kubwa katika majukwaa yako Yale Ila kitendo Cha kuanza kuingia huku kutakupunguzia heshima uliyonayo kwa wapambe wako wakianza kupitia hoja zinazotoka kichwani mwako. Huku tuachie Sisi tunaelewa mukutadha wa hili Taifa. Wewe kaendelee tu kutoa thread za Buzza na uchawi kwenye yale majukwaa yako.
Nawasilisha!!!!
 
Soma malizia pale chini, inaonyesha Mshana Jr amepata tu bandiko kutoka mahali fulani. Mwandishi ni Martin Maranja Masese
 
Umeisoma vizuri hiyo post? Umemsoma mwandishi ni nani?

Huko pote nimesoma mkuu.
lakini mkuu wewe unaweza kuchukua bandiko la kichaa ukalileta huku pasipo kukubaliana na kutafakari kile kilichoandikwa? Ni mfano tu lakini..
Na ndo maana nikamushauri hili jukwaa haliwezi watu tunatofautiana ufuatiliaji wa Mambo ndo maana utakuta huyu Ni Mzuri kwenye Mambo ya mpira yule kwenye Mambo ya dini.. na huwezi kuleta bandiko ambalo unaona huwezi kulitetea kwa hoja madhubuti. Nafikiri umenielewa mkuu wangu
 
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Huko pote nimesoma mkuu.
lakini mkuu wewe unaweza kuchukua bandiko la kichaa ukalileta huku pasipo kukubaliana na kutafakari kile kilichoandikwa? Ni mfano tu lakini..
Na ndo maana nikamushauri hili jukwaa haliwezi watu tunatofautiana ufuatiliaji wa Mambo ndo maana utakuta huyu Ni Mzuri kwenye Mambo ya mpira yule kwenye Mambo ya dini.. na huwezi kuleta bandiko ambalo unaona huwezi kulitetea kwa hoja madhubuti. Nafikiri umenielewa mkuu wangu
 
Umeisoma vizuri hiyo post? Umemsoma mwandishi ni nani?
Nimesoma vizuri mkuu lakini ulichokifanya wewe Ni unplagiarized massaging. Kitu ambacho kiuandishi kinaruhusiwa na ndo Maana Kuna wandishi wa vitabu unakuta kaandika kitabu kwa kutumia maneno ya mwingine either baadhi ya maneno au maneno yote na Hatimaye anafanya citation Kama ulivyofanya wewe. Na pia ili utumie maneno ya mtu mwingine katika kuandika bandiko au kitabu chako Ni lazima uwe unaendana kimawazo na huyo mwandishi japo na kutofautiana kupo lakini kwa asilimia chache Sana.
Kwahiyo hata wewe kufika ukaleta bandiko Hilo bila shaka umeanza ukajilidhisha kufanana
Kimawazo mwandishi wa maneno hayo
 
Mr Tyang nimeshaaga hapa tukutane kule nyumbani

Nani kichaa sasa? Mbona zile hoja zimesimama vizuri? Kama una dhani mwandishi kuna mahali kapotea njoo na counter argument, sisi wanajukwaa tutaipima.

Lakini kwa binafsi yangu nakubaliana na mtazamo wa mwandishi kwa 100%, analysis yake ni sahihi.
 
Nimesoma vizuri mkuu lakini ulichokifanya wewe Ni unplagiarized massaging. Kitu ambacho kiuandishi kinaruhusiwa na ndo Maana Kuna wandishi wa vitabu unakuta kaandika kitabu kwa kutumia maneno ya mwingine either baadhi ya maneno au maneno yote na Hatimaye anafanya citation Kama ulivyofanya wewe. Na pia ili utumie maneno ya mtu mwingine katika kuandika bandiko au kitabu chako Ni lazima uwe unaendana kimawazo na huyo mwandishi japo na kutofautiana kupo lakini kwa asilimia chache Sana.
Kwahiyo hata wewe kufika ukaleta bandiko Hilo bila shaka umeanza ukajilidhisha kufanana
Kimawazo mwandishi wa maneno hayo
Baada ya kujua umeingia chaka unajirudi kwa ujuaji mwingi, hovyo kabisa.
 
Hauna jipya ndugu, ngojela bado zilezile, huwezi kumwelewa magufuli kama hujawahi kuendesha biashara hata ya pipi, tumeshuhudia zahanati nyingi zikijengwa, upatikanaji wa umeme na maji inavyozidi kuongezeka, uwekezaji huu unaofanywa impact yake haionekani moja kwa moja, ni sekta mbalimbali zinazoshabihiyana ndio zitakua kama wawekezaji na utalii vitaongezeka. Haulazimishwi kumpenda magufuli ila vyote hivyo unavyotaka afanye vinaendela kufanyika. Niwatakie asubuhi njema.
Hivi unapoandika upupu kama huu ni kweli upo [emoji1241][emoji1241][emoji1241] hii hii? Ninayoishi mimi?
Katika ziara zooote alizofanya jiwe tangia ameingia madarakani umewahi kusikia wapi raia wanaomba wanunuliwe ndege?
 
Wala sipo kwenye hiyo yako, Kwani wananchi walichagua ziara au Ilani iliyo bora? Mlichagua kuzungusha Nikon na sasa mtazungusha viuno

Zero point!
Juzi Rais alipokuwa katavi wananchi walimuomba ndege za ATC zianzishe route ya Katavi-Dar na Rais alikubali na sasa wananchi wa Katavi wanafurahia matunda ya ununuzi wa ndege hizi.
Anyway, may be you weren't yet born else you must be a self-christened idiot.

Hamna raia mwenye uwezo wa kupanda ndege ana muda wa kwenda kwenye mikutano ya wazi kumshangilia rais. Mtu yoyote anayepanda ndege kama hajalipiwa, ujue ana kipato cha 1m+, hakuna mtu mwenye kipato hicho anaweza kwenda kushinda kwenye jua kushangalia huo ujuha. Ukiona mtu mwenye kipato cha zaidi ya 1m yuko kwenye msafara ujue kapelekwa na nafasi yake kikazi, na sio mapenzi yake.
 
Wala sipo kwenye hiyo yako, Kwani wananchi walichagua ziara au Ilani iliyo bora? Mlichagua kuzungusha Nikon na sasa mtazungusha viuno

Huyo aliyeshinda kura zake hazikupatikana vituoni bali zilipatikana kupitia bao la mkono. Hana lolote la kujisifia ndio maana kila siku anasema yeye ndio mkuu, maana anajua fika ni mbeleko ya tume.
 
Hamna raia mwenye uwezo wa kupanda ndege ana muda wa kwenda kwenye mikutano ya wazi kumshangilia rais. Mtu yoyote anayepanda ndege kama hajalipiwa, ujue ana kipato cha 1m+, hakuna mtu mwenye kipato hicho anaweza kwenda kushinda kwenye jua kushangalia huo ujuha. Ukiona mtu mwenye kipato cha zaidi ya 1m yuko kwenye msafara ujue kapelekwa na nafasi yake kikazi, na sio mapenzi yake.
Kweli kabisa, hao wanyonge anaojinadi nao rais hata nauli ya basi mtihani sasa ndege waombe ya nini? Nchi inaishi katika wimbi LA uongo na hadaa ya kiwango cha juu
 
Baada ya kujua umeingia chaka unajirudi kwa ujuaji mwingi, hovyo kabisa.
Mkuu Kwani na wewe Ni miongoni mwa wale watu wanaokulaga fisi mbona unahasira za kijinga Sana na bila shaka ulichokiandika hukielewi hata kidogo Maana umeandika kwa mihemuko ya ajabu Sana siyo kila sehemu inatakiwa utoe povu sehemu zingine inatakiwa utulize akili yako ili uelewe vitu vizuri.
Labda tu nikuulize unasema nimejirudi kwa lipi? Na unasema Kuna ujuaji, upi huo? Kitu gani umekiona Ni Cha hovyo?

Kama kinywa chako Ni Cha mpumbavu usithubutu kunene mbele ya kinywa Cha mwerevu. Nafikiri maneno haya kutoka kwenye Holly book yanaeleweka vizuri kabisa.
 
Mm nlikuwa nashangaa kwa sababu hata mabasi hawayawezi VP ndege wataweza?
Acha upumbavu mkuu, unawajua wananchi wa katavi unajua khali zao za maisha yaani leo watoa 168,100 hadi dar waache toa 23400 kwa treni ama 75,000 kwa bus

alafu hakuna mwananchi aliye omba huo upuuzi (ukiweza thibitisha hili naomba nipigwe ban jf maisha yote) tamko lilitoka kwa mh. zianzishwe ruti za katavi angalau mara 1 kwa wiki

Nasema tena hakuna mwanakatavi aliye omba huo upuuzi
 
TUSIKASIRIKIANE!

Rais wangu Magufuli:

Trump atakuwa alicheka kwanini Profesa Kabudi alipaita UDSM ni jalalani, chuo kikuu cha kitaaluma na mashuhuri kusini mwa jangwa la sahara. Trump lazima ashangazwe na hili.

Au labda Trump alishangaa ni kwa sababu gani mtu mwenye hadhi ya kuwa profesa anaimba nyimbo za kumpongeza Rais kuliko idadi ya neno 'Tanzania' katika kinywa chake.

Au labda Donald John Trumol alicheka kwa sababu una miaka minne hujawahi kukanyaga pale New York City kwenye UNGA, na mara zote umekuwa unatuma wawakilishi tu..

Au labda alishangaa kwanini Profesa Kabudi anaacha kazi chuo kikuu ya kufundisha waswahili ambao wanahitaji ukuzwaji wa maarifa kutoka kwake na kukubali kuitwa "mpumbavu" kulinda cheo cha 'uwaziri'

Marekani haina shirika la ndege linalomilikiwa na kuendeshwa na serikali (state owned). Nafikiri watu wetu watajifunza kidogo kuhusu uendeshwaji wa American Airlines Group

Rais wangu Magufui:

Sijui kwanini unadhani Trump alishangaa Tanzania kununua ndege Boeing, wakati hata Eritrea Airlines wanayo Boeing 737-300

Kwanini watushangae sisi kununua ndege kwao wakati hata Air Djibouti wanazo Boeing 737-400 na Boeing 767-200ER? Kwamba sisi ndio 'maajabu?'

Hata wasomali waliokuwa vitani waliweza kununua ndege hizo za Boeing, kwetu Tanzania haiwezi kuwa ni jambo jipya la kumshangaza Trump! Eeh! Kwanini ashangae?

Pesa ya pambano moja la Floyd Mayweather Jr keenye endorsement yote katika pambano lake vs Conor McGregor... Ndio thamani ya ndege yetu moja.. Imshangaze Trumoe? kweli?

Rais wangu Magufuli:

Kwani na mimi nikinunua Azam Malt au Mo Energy, nitakuwa daraja sawa na Said Salim Bakhresa na Mohammed Gullam Abbas Dewji?

Kwamba kwa sababu tumenunua ndege hizo (Boeing) kwa watu wa Marekani basi na sisi tumekuwa 'level' moja na hawa wamarekani? Sawa!

Kwamba, kwa sababu Trump katupongeza kununua ndege Marekani, basi sasa ni rasmi na sisi tunalingana na hao wamarekani?

Umaskini sio jambo jema. Sio jambo la kufurahia. Lakini kujimwambafai kwamba sisi ni matajiri na kutaka tutembee vifua mbele ni kutulisha chakula kizuri machoni, mdomoni hakipiti.

Rais wangu Magufuli:

Tumetumia zaidi ya bilioni 571 za kitanzania kununua ndege hii ya Boeing 787, fedha za kodi zetu.. Nani alikueleza tunahitaji ndege? Wananchi gani huko kwenye ziara wanalilia ndege?

Wanakijiji wa kijiji cha Shuka, halmashauri ya Mtama, Lindi wanalalamika hawana maji ya kutumia, wanatumia maji na wanyama, maji ni kero kwao.

Mimi na wenzangu, kwetu huko Tarime, zahanati, vituo vya afya na hospitali ni kero kubwa, kata hazina vituo vya afya, hospital ya wilaya hakuna Vifaa tiba.

Needs vs Wants.. Mahitaji makuu sidhani kama ni hayo madege,.. Hizo ni 'wants' tu. Wananchi wa Mtama wanataka visima vya maji safi na salama sio ndege hizi .

Hatuna scale of preference? Au ni lazima kununua Lamborghini ,Ferrari, Porsche, Buggati,Bentley, Aston Martin, Jaguar, Rolls-Royce, Audi, Maserati wakati wa njaa kali nyumbani?

Rais wangu Magufuli:

Kuna upungufu wa vyumba vya madarasa kwa zaidi ya asilimia 50 kwa shule za msingi na sekondari..

Kuna upungufu mkubwa wa matundu ya vyoo mashuleni kwa zaidi ya asilimia 40 shule za msingi na sekondari

Kuna upungufu wa walimu wa shule za msingi na sekondari nchi nzima kwa zaidi ya asilimia 30.

Vipi upungufu wa vifaa tiba na dawa Katika hospitali za serikali kwa zaidi ya 65%?

Upungufu wa madaktari na wauguzi Katika hospitali za umma nchi nzima kwa zaidi ya asilimia 45?

Kuna kata hazina vituo vya afya, vijiji havina zahanati na baadhi ha hospitali za wilaya hazina vifaa tiba. Tumesahau?

Rais wangu Magufuli:

Umeme umefika kwa kiwango gani kwa wananchi vijijini? REA III inakuja, itamaliza vijiji vyote kwa Umeme?

Vipi nyongeza ya mishahara kwa watumishi? Mikopo elimu ya juu? Ajira? Wananchi Hawa wana uwezo wa kujiajiri wenyewe Katika sekta binafsi?

Rais wangu Magufuli:

Wapambe hawana jema. Hawatakueleza kweli, na ukweli tutakueleza sisi wengine ambao hatusubiri mrija wa mnunurisho wa asali na maziwa.

Wananchi wa Nachingwea, tunadai zaidi ya shilingi za kitanzania bilioni 3.4 za mazao yetu ya korosho ambayo serikali ilichukua kwetu. Mtulipe fedha zetu!

Wakulima wa mbaazi, dengu na choroko hatujui soko letu tena. Bidhaa zimeoza ndani. Naibu waziri wa viwanda na biashara alisema tule mbaazi kwa sababu ni nzuri kwa afya!

Rais wangu Magufuli:

Kwanini kila kiongozi ambaye anapata nafasi ya kupanda jukwaani mbele yako anasema ndege hizi ni zako, na yule wziri wa uchukuzi amesema hili ni wazo lako,

Ni kweli ni wazo lako? Sio matakwa ya wananchi? Hizi ndege zinaendeshwa kwa kodi ya nani kama sio hao wananchi? Zimenunuliwa na nani kama sio mwananchi?

Kiongozi wa serikali anapanda jukwaani anawananga wananchi wengine, hii ni kwamba kuna ambao hawakuchangia ununuzi wa ndege hizo? Kwamba

Rais wangu Magufuli:

Nimesikia ukisema utafuatilia faida iliyotengenezwa na ATCL. imetajwa na Kamwele kwamba ni USD14M yaani "dolari milioni 14 za kimarekani"

Kwa kweli uzifuatilie. Maana, The issue is endemic. Unfortunately. Anywhere in the world, political kleptomaniacs never put their people's interests ahead. Never. Saad

Kisha, utupe sisi "wanyonge wenzako" mrejesho, wa kimaandishi, ikikupendeza, na risiti za ununuaji ndege hizo, maana unasisitiza sana "Toa risiti: Dai risiti" ni vyema tukafanya hivyo.

Mheshimiwa Rais, nikutakie 'weekend' njema, afya tele! ni mimi mwananchi wa Tanzania, mtaani wananiita eti "jeshi" na hawataki kuacha, mimi nawaomba waendelee kuniita 'ninja' au wakishindwa 'Rambo'

Nakusalimu Tata!

#MMM, Martin Maranja Masese
Wapumbavu tu ndio wanaoshangilia yale anayofanya Magufuli.

Bilioni 571 ukizimwaga kwenye wizara ya kilimo itachukua mwaka mmoja au miwili tu maisha ya watanzania wote wa mjini na vijini yatabadilika kutokana na uzalishaji kuwa wa tija, mwingi na wa kutosha kuingiza pesa.

Hiyo Boieng kwa nauli hizi hizi za laki mbili laki tatu plus matumiz makubwa ya uendeshaji wake itachukua 10 to 20 yrs kurejesha biion 571, sio faida bali gharama za kulinunua.

Siasa vs misifa ni shida.
 
Back
Top Bottom