Toka mtandaoni : Kizungumkuti cha ndoa

Toka mtandaoni : Kizungumkuti cha ndoa

Mimi naomba wanaume waendelee kuamini hivyo hivyo kwamba wanawake hawachepuki raha sana mtu anapojipa moyo kwamba yeye ni chui japokuwa kiuhalisia yeye ni paka tu
Na nyie muendelee kuamini kwamba wanaume WANACHEPUKA na wanaume WENZAO....
 
Hahah ilikuwa afe kabisa,kujua hata bimkubwa anachepuka siyo issue ndogo.
 
Tunajua kuwa mmachepuka na wanawake wenzetu ila kwani kuna jipya hapo? Mbona sisi wanawake tumeshazoea? Shida inakuja kwenu nyie wanaume mkisikia wake zenu wanachepuka mnavyoumia hahahaha
Na nyie muendelee kuamini kwamba wanaume WANACHEPUKA na wanaume WENZAO....
 
Back
Top Bottom