Toka lini umejiunga na Magereza

Toka lini umejiunga na Magereza

Mbimbinho

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2009
Posts
8,328
Reaction score
7,804
Mpolisi karudi home usiku, ili asimuamashe mkewe hakuwasha taa ya chumbani kwake akaaanza kuvua unifom zake, ghafla mkewe akamwambia kwa sauti ya usingizi,
MKE: Mpenzi usiwashe taa kichwa kinanigonga vibaya, naomba uende hapo jirani kwa kaduka ka Mangi kaniletee panadol. Mpolisi akavaa chapchap na kukimbia kwa Mangi.
MPOLISI: Mangi nipe panadol.
MANGI: Hii hapa afande. He afande toka lini umejiunga na Magereza, naona leo umetwanga unifom ya Magereza
 
Dah!!Mpolisi kazidiwa ujanja na vijana wa mabasi ya kijani!!!
 
Mke ameona mziki wa polisi mdogo ajaribu na wa magereza!
 
Hapo MMAGEREZA nae akurupuke kwa kitete avae uniform atastukia kwake anapoulizwa na mkewe "umehamishiwa kwenye UPOLISI leo!??"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom