Togolani Mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa JK - Hotuba

Hongera sana togolani,naamini katika uwajibikaji na utendaji wako,naamini katika bongo yako,naamini katika weledi wako,unayo exposure ya kutosha katika mambo mengi,umri wako ni kielelezo cha vijana wenye mtazamo mpana kwa nchi,hongera sana,sana,sana,ninayo imani viatu vya january,mbelwa,na marwa vitakutosha.hongera sana.
 
Yuko fit kwa lipi acheni uongo wenu, huyu Alimasi za UDSM bachelor yake ya PS& PA mwaka 2005 , alipata GPA ya 2.3 , huo ndio ufit? ALipewa kazi wizarani kwa kuwa baba yake Mzazi alikuwa BALOZI wa Tanzania , so alone bwana baba , sasa naona Jk kaamua kumbeba naye huyu, hana hata taaluma ya uandishi wa habari.......do I say more? Alivyokuwa Udsm akiishi Mabino hostel .........

usisahau kuwa wapo wadada wanaopata GPA za juu kwa kuvua chupi zao
 
Baada ya uteuzi wa Togolani I. Mavura kuwa msaidizi wa Rais-hotuba, imeibuka mijadala kwa baadhi ya watu wakionesha mashaka na sura na uraia wa Togolani. Wengi wanamfananisha na jirani zetu watutsi.

Kwa kuzingatia maslahi ya ikulu yetu, Rais wetu na nchi yetu kwa ujumla hebu tumjadili huyu Togolani kwa mapana yake. Kama kuna mtu ana vielelezo vya mahali alipozaliwa, aliposoma na chimbuko la familia yake kwa ujumla basi aiweke hapa ili tuweze ku-clear doubts.
 
Hongera zake! Labda zile "ninawajua,nina majina yao,ni kiherehere chao" hazitakuwepo tena.
 
Back
Top Bottom