mndemeimran
Senior Member
- May 7, 2017
- 112
- 74
*Difference between TANZANIA , UK and USA.
Wale hawajui kiingereza nimesema "Tofauti kati ya TANZANIA, UINGEREZA na MAREKANI..
*Kumtambulisha mke:-*
USA - this is my lovely wife.
UK - this is my lovely queen.
TANZANIA- huyu ndiye mama watoto.
*Mke kumuaga mume wake wakati anaenda kazini:-*
USA -have fun at work honey
UK - see you later sweery.
TANZANIA- Chelewa leo tena utaona.
*Mume kumsifia mke wake kapendeza na gauni jipya:-*
USA - you look smart in that new dress.
UK - i miss to walk with you in that dress my dear.
TANZANIA- inaonekana manager ameanza kukutongoza ukitoka na hiyo nguo usirudi hapa.
*Mtoto akifeli mtihani shuleni baba anasema:-*
UK- you can still do better darling,
USA- Yes you can, I know you can,
TANZANIA- kumbe niliuza ngo'mbe ili nipeleke ng'ombe nyingine shule.