Tofauti ya wana ndoa ikiwa miaka 10+ lazima mmoja wao atakua na uchumi imara

Eeehh! Honey honey nyingiii...unahesabu siku tu lini utakua mjane!!!

Wadada wengi wa mjini ndo wako hvyo yaani kimaslahi zaidi
Ninasikia yule dada mweusi wa TV na yeye alitaka kuishi maisha haya na marehemu boss lakini marehemu hakumpa nafasi hiyo.
 
Back
Top Bottom