Tofauti ya wana ndoa ikiwa miaka 10+ lazima mmoja wao atakua na uchumi imara

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Haya maneno niliyasoma kwenye comments za wasomaji, ni miaka mingi kidogo wakati Jackie Collins yule mwana mama Muingereza mtunzi wa vitabu ambae anaishi Los Angeles alipofunga ndoa akiwa na umri wa miaka 71 na mume wake akiwa na miaka 37.

Bado ninaifanyia uchunguzi kauli hii.
 
Ila tatizo kwa bongo kufanya uchunguzi huwa ni ngumu kupata data zilizo sahihi mana wengi wao wanaoana wakiwa tayar wanauchumi mzur hasa wanaume means kwamba mwanamke anakuwa kapendea hela kama ilivyo kwa mzee wetu na kwa nyarandu pia
 
Lakin kwa Nyalandu ni tofauti kidogo, hawana tofauti ya miaka kumi na wote ni ndoa yao ya kwanza.
 
Back
Top Bottom