TOFAUTI YA ORDINRY BUS, SEMI LUXURY NA LUXURY BUS kwa hapa TZ

Yaani full luxury siti 2 by 2, full kipupwe, dawa unachimba humohumo,soft drinks kama kawaida..siti za kulala,una adjust kulingana na mahitaji yako,then bus ina pulling ya kuvuta mizigo sio lazima tushindilie kwenye staff carrier!
 


sasa mkuu hapa bongo hilo luxury utalipata wapi au SUMATRA walikuwa wanapanga nauli kwa FORESEEABLE FUTURE?? au ndo mpango maalumu kwa hayo mabasi yaendayo kasi?? kusema kweli hiki ni kizungumkuti.... tupotupo tu na hatujielewi kabisa Eti pipi na soda zina determine kama hii ni Luxury au sio Luxury!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…