Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ratco, dar express, new force, shabiby sharobalo, ndenjela, jm, super feo ni luxury buses
hehehhehee DODOMA CENTRAL LINE,SHUKRAN,CHAMPION,KILIMANJARO COACH,ISLAM BUS SERVICE,Shambalai, champion, super najimunisa ni mfano wa ordinary buses
Ordinary bus ni sawa na kajamba nani unapanda na kuku mbuzi jiko la mkaa masufuria maana hauna uhakika wa safari mtafika lini pia usisahau na mashuka dawa za mmbu, mende na kunguni na pia sia ajabu ukakuta siti moja mmekatiwa watu wanne so mnapangiana zamu za kukaa kwa masaa hadi mwisho wa safari mwendo kwa magari haya haujulikani kwakuwa hayana speedoometer na luxury ni kuwa unakaa kiti cha peke yako unapata huduma zote utakazo ikiwemo choo bafu maliwato kwa ujumla pia kuna chakula bia na pombe kali kuna smoking zone kuna ofisi pia kuna secretary na unaweza kusimamisha bus ukashuka ukaingia dukani mahala popote na zaidi unafikishwa hadi mlangoni kwako mwisho wa safari mwendo wa gari hili ni 50 km/h
shambalai, champion, super najimunisa ni mfano wa ordinary buses