Alejandroz
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 329
- 419
Nini maana sahihi ya maneno haya
Kwa ninavyofahamu mimi, Tovuti ni intaneti na wavuti ni website.
Karibu utwambie unavyoelewa wewe.
Ikumbukwe kuwa internet sio mtandao, mtandao ni network
Kwa ninavyofahamu mimi, Tovuti ni intaneti na wavuti ni website.
Karibu utwambie unavyoelewa wewe.
Ikumbukwe kuwa internet sio mtandao, mtandao ni network