Hebu kwanza...
Wewe ulishawahi kupenda? Je ulishawahi kutamani??
Kama majibu yako ni ndio hebu tupe uzoefu wako kidogo
Mi kauzoefu kangu ka uzeeni... ni kwamba naweza kumpenda mama yangu, dada yangu, bibi yangu, shangazi yangu na binti yangu.... Hawa kamwe siwezi kuwatamani.
Mke wangu, michepuko yangu, mabaamedi, mabinti wafanyakazi wenzangu... hawa naweza kuwatamani na kuwapenda pia.
Yaani mtu unayempenda huwezi kumtamani lakini unayemtamani unaweza kumpenda
Kwamfano kama wewe ni SHE ujue nshakutamani tayari, unaweza kuja PM ili tupange mikakati ya kupendana mazima