Tofauti ya kupendana na kutamaniana

Tofauti ya kupendana na kutamaniana

So kumbe kuliwa tu bas... Aisee nisamehe
Once in a blue moon afu mbon kichwa cha habari hakiendan na kauli zako? hujaona neno "i wanna know for the future"? [emoji126][emoji126][emoji126]
 
Aaah mimi hata sielewi which is which kati ya hivyo vitu viwili ila nina mke, michepuko na maX kibao
Na kila mmoja anakula urefu wa kamba yake
Na hadi sasa sielewi yupi nimempenda na yupi nimemtamani
 
Aaah mimi hata sielewi which is which kati ya hivyo vitu viwili ila nina mke, michepuko na maX kibao
Na kila mmoja anakula urefu wa kamba yake
Na hadi sasa sielewi yupi nimempenda na yupi nimemtamani
[emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kwa mwanaume hamna tof
Habari wana JF,,
Kumekuwa na utata katika kutofautisha haya mambo mawili yaani kupenda na kutamani kwa sababu mtu anaeza kuact anakupenda kumbe amekutamani na mwingine ukahisi ametamani kumbe anamapenzi ya dhati..

Na acting ndo chanzo cha kushindwa kutambua which is which..JUST I WANNA KNOW for the future[emoji108] #Totally confuced
kwa mwanaume hamna tofauti hata kama nakupenda lazima nikutamani sijui wanawake!!
 
Back
Top Bottom