yaan kuna watu humu JFTyping error #s not c
Confused not confuced ila si ulielewa my point..
Join 2019. june.. Ushakuwa moderator?Njoo pm kunieleweshe vizuri nikushushie nondo by the way Mimi ni mtaalamu wa saikolojia with five years working experience pia ni mshindi wa BBC :challenge award 2015
Pia ni moderator wa jamiiforums pia inaonekana sijakufanyia analysis vzr ya account yako inaonekana pm yako baadae itakujasumbua Njoo pm kwa msaada zaid
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]kuna Binadamu wana challenge mnoyaan kuna watu humu JF
wanaboa..kwani kuna darasa ka lugha humu? mbka tuanze kusemana..lingine utalikuta eti unawaza kwa kutumia matako au...hahaa jaman hatufanani ww kama msomi sana na unajua uandishi fungua JF yako isiyo na makosa ktk uandishi..mxeeeew PUNGASESEEEE NYIE.
Fact[emoji122][emoji122]Kumpenda mtu ni jambo linalohusisha HISIA yaani kumkubali kwa kila hari
Ila kumtamani nikupenda moja kati ya vitu alivyonavyo
Kwa mfano
Mwanamke anaweza kumpenda mtu ambae hana chochote
Ambaye hapendezi
Wala sio mjanja mjanja
Akamtamani mwenye verossa
Definitions sio majibu maana unavofanya comparison kuna Congresses, similarities and differencesNadhani definition ndo majibu
Nlipewa hcho cheo mwaka huohuoJoin 2019. june.. Ushakuwa moderator?
Baharia at workπππNjoo pm kunieleweshe vizuri nikushushie nondo by the way Mimi ni mtaalamu wa saikolojia with five years working experience pia ni mshindi wa BBC :challenge award 2015
Pia ni moderator wa jamiiforums pia inaonekana sijakufanyia analysis vzr ya account yako inaonekana pm yako baadae itakujasumbua Njoo pm kwa msaada zaid