Tofauti ya Kiiza Besigye na vyama vingine vya upinzani Afrika

Tatizo la Chadema hawajui idadi kamili ya wanachama wanaangalia picha wanasema haya mafuriko haya ni kadhaa
 
Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu.
Besigye anaongelea matatizo wanayokumbana nayo Wapinzani Afrika hasa wakati wa uchaguzi, wkt huku kwetu chadema ambacho ndicho Chama Kikuu cha Upinzani kinasifu Chama tawala cha Kenya na wanasema kwamba Upinzani wa Kenya ndiyo wanaominya demokrasia, kwa mujibu wa chadema yetu,
so sad, ...

Huwa najiuliza sipati jibu. CDM wanakiunga mkono chama tawala cha Kenya, ktk vyombo vya habari inatangazwa polisi wameuwa hadi watoto wachanga. Kwa hiyo CDM wanaunga mkono na hayo MAUAJI??!!
 
Unatoka nje ya Mada, siyo TZ vs Kenya, hilo halikuwa lengo langu!
Sijatoka nje ya mada.
Ni kwamba cdm ni mpinzani Tanzania na Wale muungano WA NASA ni wapinzani Kenya.

Kwakua unaafikiana na hoja ya Basigye kuhusu vyama tawala afrika vinakandamiza vyama vya upinzani ukatolea mfano Kenya na kuhoji kuhusu CDM kuunga mkono muungano wa Jubilee. Hii ina maana unakubali pia kua CCM chini ya mwenyekitii wao Dr. john Pombe magufuli inakandamiza upinzani. Basigye, he is right.

Hii ni kama hesabu ya simultaneous huwezi ongeza namba huku na kule ukaacha.. Ku balance equation.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama tawala cha Ghana kilikua cha upinzani na ni rafiki mkubwa wa Chdema, mwaka jana kimeshinda uchaguzi.. Kwahiyo Chadema ivunje urafiki?
Halafu kuna urafiki wa vyama au umoja wa vyama(kidunia au kikanda) ambao unatokana na Itikadi za vyama hivyo. mf ni Liberal Democratic Union.. Kwahiyo umoja huu upo bila kujali chama kipo madarakani au laa.
Pia upo urafiki wa viongozi ktk vyama au Chama kuamua kumuunga mkono kiongozi flani kutokana na matendo au uongozi wake.
Mf. Leo Chadema hawezi kumuunga mkono Raila wkt anasema anaenda kuongoza Kama JPM (utawala usio na demokrasia na uonevu)
Lazima wamuunge Uhuru ambae hata maandamano ya kumpinga ameyaruhusu.. Huku kwetu mikutano ya ndani tu watu wanapimwa mikojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kaka umeona tz ilivyo na vilaza wengi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo swala la urafiki bali ni swala fighting for the same cause, sasa Je, chadema na Jubilee ya Kenya wana fight for the same cause? Kwa hiyo malalamiko na upinzania NASA wa Kenya hayawahusu chadema kama Chama cha Upinzani amabcho kila siku kinalia kuibiwa kura na Chama tawala?
Isitoshe kama swala ni urafiki wa kiitikadi iweje basi chadema ilikuwa rafikia wa Raila Odinga uchaguzi uliopita, je ni nani aliyebadilka ni chadema au ODM ya Raila?
ODM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo Kiiza Besigye amelielezea kama ukiliskiliza kwa makini, kama ukipenda, kwamba Vyama vyote vya Upinzania Afrika na hasa hili eneo letu vinakumbana na matatizo yanayoshabihiana, hivyo kwa akili ya kawaida ambayo kwa bahati mbaya haipo chadema, tungetegemea Upinzani uunganishe nguvu zao ili kupambana na hali iliyopo, lkn chadema wameungana na Chama tawala nchini Kenya ili kuzidi kukandamiza Upinzani nchini humo ili hali wao (chadema) wenyewe hulia kwamba ni victims wa ukandamizaji na kwamba wanaibiwa kura, so sad!
2015 ODM kilimuunga ccm, ulitaka 2017 CDM amuunge nani? Vilevile magu alimwita Odinga rais na ccm waliwaunga mkono ODM mwaka huu. Pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chama tawala cha Ghana kilikua cha upinzani na ni rafiki mkubwa wa Chdema, mwaka jana kimeshinda uchaguzi.. Kwahiyo Chadema ivunje urafiki?
Halafu kuna urafiki wa vyama au umoja wa vyama(kidunia au kikanda) ambao unatokana na Itikadi za vyama hivyo. mf ni Liberal Democratic Union.. Kwahiyo umoja huu upo bila kujali chama kipo madarakani au laa.
Pia upo urafiki wa viongozi ktk vyama au Chama kuamua kumuunga mkono kiongozi flani kutokana na matendo au uongozi wake.
Mf. Leo Chadema hawezi kumuunga mkono Raila wkt anasema anaenda kuongoza Kama JPM (utawala usio na demokrasia na uonevu)
Lazima wamuunge Uhuru ambae hata maandamano ya kumpinga ameyaruhusu.. Huku kwetu mikutano ya ndani tu watu wanapimwa mikojo.

Sent using Jamii Forums mobile app
CHADEMA ilikuwa Chama cha Upinzani kabla ya kupokea makapi toka CCM. Kwa kutelekeza Sera yao iliyowapa umaarufu ya kutetea Rasilimali za Umma na kupinga Ufisadi, CHADEMA is absolutely not and no longer an Opposition Party. Period!
 
Kwa mujibu wa chadema ndicho wanachotuambia na kujaribu kutumianisha na ndicho wanachokihubiri tangu kuasisiwa kwao, na ndiyo maana nashangaa kuungana na Chama tawala nchini Kenya ambacho kinashutumiwa na Upinzani kufanya yale yale ambayo chadema inayalalamikia hapa nyumbani, na cha ajabu zaidi labda kuliko vyote chadema hiyo hiyo mwaka 2013 ilikuwa upande wa upinzani nchi Kenya Odinga na ODM yake, kwa sababu zile zile ambazo wamekuwa wakizihubiri hapa Tanzania!

Sasa nani aliyebadilika chadema au Upinazani wa Kenya?
Kaka kuhusu vyama tawala na upinzani ke na tz, hapa kulitokea vice versa kuanzia 2015 wakati odm walipomuunga mkono ccm. Na mpaka mwaka huu ccm waliendelea kumuunga mkono odm. Sasa ulitaka cdm wafanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kaka kuhusu vyama tawala na upinzani ke na tz, hapa kulitokea vice versa kuanzia 2015 wakati odm walipomuunga mkono ccm. Na mpaka mwaka huu ccm waliendelea kumuunga mkono odm. Sasa ulitaka cdm wafanye nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
CDM ni chama mfu. Hakina mvuto wala nguvu tena hasa baada ya kuondolewa kwa mbeleko ya CUF.
 
Chadema OG ambayo kamwe isingekubali kufungamana na fisadi uhuru kenyata ilishajiondokea na dr slaa, hii ya lowasa ni wazi ni lazma imuunge mkono kenyata - hata wahenga walinena ndege wafananao huruka pamoja!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2015 ODM kilimuunga ccm, ulitaka 2017 CDM amuunge nani? Vilevile magu alimwita Odinga rais na ccm waliwaunga mkono ODM mwaka huu. Pambana na hali yako.

Sent using Jamii Forums mobile app

CCM haijawahi kuunga mkono chama chochote cha Siasa Kenya, usichanganye mapenzi ya JPM na CCM isitoshe hata JPM mwenyewe kama Raisi wa nchi na Mkuu wa CCM hakuchukuwa upande wowote ule na ndiyo kama Raisi wa nchi ameshampongeza Uhuru Kenya pmj na kuwa Upinzani wamekataa matokeo!
 
Huyu ni Kiiza Besigye ambaye ni Mpinzani wa ukweli nchini Uganda akitoa maoni yake khs uchaguzi uliofanyika nchini Kenya, sasa linganisha na chadema yetu.
Besigye anaongelea matatizo wanayokumbana nayo Wapinzani Afrika hasa wakati wa uchaguzi, wkt huku kwetu chadema ambacho ndicho Chama Kikuu cha Upinzani kinasifu Chama tawala cha Kenya na wanasema kwamba Upinzani wa Kenya ndiyo wanaominya demokrasia, kwa mujibu wa chadema yetu,
so sad, ...

Ulitaka CHADEMA wachukue Matako toka ccm na kwa Kagame?
 
Back
Top Bottom