Bakyaitaki
Member
- Apr 6, 2012
- 65
- 44
Oh poleni naona kuna utani na u serious kidogo. Mi nitakuwa upande serious! Aliyeelezea utofauti kati ya jaji na hakimu ameelezea vizuri kuwa , kwanza wote ni watoa haki mahakamani kwa kuttafsiri sheria, ingawa wakati mwingine wanaweza kutumia busara ka kufanya maamuzi ambayo pia yakawa sheria (precedents). Mahakama ina ngazi kadhaa kuanzia ila Mahakama ya Mwanzo. Watoa haki wa mahakama za Mwanzo, Wilaya na Mkoa (Mahakama ya Hakimu Mkazi) wanaitwa Hakimu (sina uhakika kama uwingi wake ni mahakimu au la). Na watoa haki wa Mahakama Kuu na wale wa Mahakama ya Rufani wanaitwa Majaji. Kwa english wa Mahakama ya Rufani wanaitwa Justices. Mkuu wa wote anaitwa Chief Justice.Justice inatumika wapi?
Kwa maana huko mahakama ya Rufani hakuna Judges bali Justices na bosi wao anaitwa Chief Justice (Jaji mkuu)