ilovebrenda
Senior Member
- Jun 23, 2019
- 105
- 73
Mabaharia oyeeee. Sisi mabaharia kazi ya majini inatukosesha kufahamu mengi hata ya kawaida tuu, kwa mfano juzi wkt mheshimiwa anawaapisha majaji pale mjengoni tukaanza kubishana bwana... wale mahakimu, mara wale ni majaji. So mabaharia wenzangu wa nchi kavu hebu tusaidieni, hivi hakimu ndio jaji eti eeedh?