TOFAUTI YA J.KIKWETE NA J.Kambarage

TOFAUTI YA J.KIKWETE NA J.Kambarage

Eng. D

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
31
Reaction score
6
Wadau,

Kunakipimo cha uwezo wa mtu kufikiria, ubunifu, au kuelewa mambo haraka(IQ), na kipimo cha chini ni IQ 70 na cha juu zaidi ni IQ 180


Kikwete (IQ) --------Nyerere (IQ)
kufikiri 40 -----------120
ubunifu 27 --------------133
kuona mbali 13.2 --------------150
kuelewa 7.2 ------------------130
ujinga 160------------------------------ 0.2

JK akihojiwa na CNN - YouTube
YouTube - Broadcast Yourself.
 
Nakuunga mkono kabisa,kwanza utoa upendeleo kwa kikwete!umembeba!
 
Nyerere was genius and patriotic thats why tulimwamini na kumpa madaraka/mamlaka makubwa, huyu wa sasa ni kilaza then haaminiki. Hata level ya usomi na uelewa wao ni tofauti sana!
 
Nyerere was genius and patriotic thats why tulimwamini na kumpa madaraka/mamlaka makubwa, huyu wa sasa ni kilaza then haaminiki. Hata level ya usomi na uelewa wao ni tofauti sana!

Kikwete ni kilaza wa ukweli,hana lolote kichwan
 
Hii kitu mbona umeipendelea sana mkuu......au kwavile inaweza kuuingia ubwabwa ukawa mtamu sana!!!
03029cs-u.jpg
 
Akili za Kikwete ni sawa na mtoto anayeaanza shule kwa hiyo huwezi kumfananisha Kikwete na Nyerere
 
Kumfananisha Kikwete na Nyerere ni dharau kubwa sana kwa Nyerere! Hata Matonya ana akili kumpita Kikwete..........
 
Kati ya stafeli na wali, tamu zaidi ni nyama. Unamtusi hayati kwa kumlinganisha
 
Back
Top Bottom