Tofauti ya elimu vyuo binafsi na vile vya selikali.........

E.c.K

Member
Sep 4, 2012
6
0
wajameni kunatofauti ya ubora wa elimu itolewayo private colleges na ile ya vyuo vya selikali........ hebu tujadili hili wana jf!
 
Ila mbona sioni mambo kama aya kwenye mitandao ya kijamii ya nchi zingine isipokua tanzania tu,vp unaonaje tukijadili mfumo unaotumika kutoa elimu isiyokidhi mahitaji ya kijamii?kaa ukijua kua great thinker hawalinganishi ubora kitu kilicholetwa na sistim ambayo si bora.Ebu jaibu kutoa ushauri kwa sekta usika kuhusu nini kifanyike kwani vyuo binafsi na vya serikali vyote havitoi elimu inayoridhisha hapa nchi
 
Nakuunga mkono sana!
 
Nafikiri mtoa mada yuko sahihi. Wewe ukitaka anzisha thread yako tutachangia.

Huwezi kuja analysis nzuri ya kurekebisha tatizo kwa kukitafuta chanzo cha tatizo husika bila ya kuzingatia matokeo tatizo.

Mtoa mada amekuja na matokeo ya tatizo. Tunahitaji kuthibitisha ni kweli au la, kuna tofauti ya elimu inayotolewa na vyuo vya binafsi na vile vya umma. Je! Hiyo tofauti ya kielimu inaonekana wapi zaidi, yaani in theoretical or practical aspects? Tukiisha kuyachambua matokeo hayo vizuri then slow tvakwenda ktk root cause. Ndipo tutafika ktk kujadili unachokitaka.
 
Uko sahihi kaka
 
Inamaana wewe kwa uelewa wako,unaamini ni wapi bora,government au private institutions?
 
wajameni kunatofauti ya ubora wa elimu itolewayo private colleges na ile ya vyuo vya selikali........ hebu tujadili hili wana jf!

Mimi nadhani tofauti ipo,kuna vyuo vya serikali vinavyotoa elimu bora kuliko vya binafsi na kuna vya binafsi vinavyotoa elimu bora zaidi kuliko vya serikali. Tofauti kubwa ni kwamba,vyuo vingi vya binafsi vipo kibiashara zaidi na kusababisha kutoa elimu duni.
 
cdhan kama kuna tofauti sema vyuo private vna ada kubwa sana wanattuua ambao tuna cutng off point chache atuwez kuaply vyuo vya public coz vna cutng off point kubwaaa
 
waliochaguliwa au wanaosoma tumaini dar tutafutane jaman au wana jf kama mna ndg wanasoma au wamechaguliwa apo waambieni wanitafute:flypig:
 
Mimi nadhani tofauti ipo,kuna vyuo vya serikali vinavyotoa elimu bora kuliko vya binafsi na kuna vya binafsi vinavyotoa elimu bora zaidi kuliko vya serikali. Tofauti kubwa ni kwamba,vyuo vingi vya binafsi vipo kibiashara zaidi na kusababisha kutoa elimu duni.
low capacity of thinking......1.1mb
 
Mimi nadhani tofauti ipo,kuna vyuo vya serikali vinavyotoa elimu bora kuliko vya binafsi na kuna vya binafsi vinavyotoa elimu bora zaidi kuliko vya serikali. Tofauti kubwa ni kwamba,vyuo vingi vya binafsi vipo kibiashara zaidi na kusababisha kutoa elimu duni.

ur ryt Msafiri! Serikalin hakuna longolongo,vyuo binafs wapo kbiashara ndo mana udahl mkubwa sana..! Pesa mbele...
 
wewe utakuwa na matatizo kidogo,umetumia kigezo gani kupima uwezo wagu wa kufikiri?
UMEFANYA RESEARCH GANI NA UNA VITHIBITISHO GANI AU UNAROPOKA TU uwe una reasoning kabla ya kutoa maoni biashara na ufanisi wa elimu ulivolinganisha hata mtoto atakucheka,then kila chuo kipo kibiashara kwa taarifa yako
 
ur ryt Msafiri! Serikalin hakuna longolongo,vyuo binafs wapo kbiashara ndo mana udahl mkubwa sana..! Pesa mbele...

sidhani kama ulifikiri ila tambua kila chuo kina mission na vision yake so unavosema vyuo vya binafsi vipo kibiashara ni kweli na hakuna chuo ambacho hakipo kibiashara ukitaka kujua ubora wa chuo si kukaa nyuma ya laptop na kutoa povu mdomoni ni kufanya utafiti wa kina hapo nitaridhika na majibu yako ila kwa jinsi ulivotoa hizi sababu nasikitika kusema
ur thinking capacity is 1.1mb
 
:baby:before you comment 4 any post you have to reason first otherwise you will sound awkward!!!!!!!!!:A S 465:

by E.C.K
 
Back
Top Bottom