Tofauti ya Dini katika mapenzi

Mlivyoamua kuacha Dini... Watoto mtawalea kwa misingi ipi?
Tuliongea kwa mapana. Waislam wana malezi mazuri kwa watoto wa kike ila wakiume wanakua viburi na jeuri. Wakristo wana malezi mazuri kwa wakiume ila wakike inakua ndivyo sivyo.

Wakiume: ukristo
Wakike: uislam
 
Kama sio shehe au katekista
 
Mimi pia nipo nahuo msalaba kwahiyo mda ndio utaongea
 
Mimi pia nipo nahuo msalaba kwahiyo mda ndio utaongea
Pole sana..ni changamoto kubwa..ila ukiwa na nia thabiti utashinda ingawa Utapitia misukosuko..familia yangu imetokea katika huo mchanganyiko..una changamoto zake..ila mmoja anapojifunza na kutambua huwa ni furaha kubwa.

Tatizo la huyo dada linatatulika vizuri tuu...sio gumu kama anavyolifikiria..ila kama huyo mwenzi wake angekuwa ni wa kanisa x.
 
Funguka mkuu unaposema kanisa x nn maana yake
 
Funguka mkuu unaposema kanisa x nn maana yake
Ahahaaa ndugu..Unajua kila kila kanisa lina misingi..miiko..sheria..kanuni na taratibu zake...sasa nimetoa mf tuu wa kanisa hilo mkikaa mkaelimishwa why yes or no katika hilo utalitatua vizuri sana huku wote mkitoka mmeridhika kabisa...mengine ni private my friend.
 
Kamwe usikubali kuvunja penzi kwa sababu ya dini, kumbuka dini ni maujanja yaliyotengenezwa na watu na tulipokea bila kuhoji. Kila mtu abaki na maujanja yake
 
Tuliongea kwa mapana. Waislam wana malezi mazuri kwa watoto wa kike ila wakiume wanakua viburi na jeuri. Wakristo wana malezi mazuri kwa wakiume ila wakike inakua ndivyo sivyo.

Wakiume: ukristo
Wakike: uislam
Aisee, huu mtazamo wako sijawai sikia...Amakweli kua uyaone.
 
Kafungeni mseto kila mmoja abaki na dini yake Kama jamaa ni rc lakini
 
Mimi wazazi wangu wahana shida au niseme Mama ambae yupo hai.. Ila Mimi mwenyewe Nafsi inakataa kuwa na mahusiano haya.japo nampenda Sana.. Ila Kila siku upendo unapungua kwasababu ya dini
Haujatushirikisha unatoka dini gani kwenda ipi tukushauri!
 
mwanamke wakiislamu kuolewa na asiyekuwa muislamu hiyo ndoa ni baatil kwa mujibu wa uislamu!!!ALLAH ATUONGOZE!!!
 
Katika haya maisha nimeamini kuwa watu huzaliwa waliwa very pure, innocent na bila ubaguzi wowote ila jamii ndio huwabadilisha kwa kuwalisha mawazo ya kibaguzi.

Imagine leo huyu dada anaacha penzi ambalo ni la uhakika ili tu kuwafurahisha wazazi wake au jamii yake bila kujijua.

Mwisho wa siku hiyo yote inageuka kuwa tatizo ambalo hata halikutakiwa kuwapo.
 
Pole mjukuuu angu,ivi inakuaje? Au caring? Pesa? Na ule msemo wenu kusema tutajua mbele ya safar?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…