Tofauti ya Dini katika mapenzi

Tofauti ya Dini katika mapenzi

Quetzal

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
6,345
Reaction score
10,822
Mapenzi Ni mazuri Sana, unakutana na mtu mnapendana unaona kabisa yaani penzi Lina flow bila hata nguvu ya ziada.
Lakini tatizo Dini. Unaona kabisa Dini Ni kikwazo, Mimi katu Siwezi badili Dini yangu. Mwenzangu analazimisha nibadili...

Naona penzi langu tamu,zuri na maridhawa linakaribia mwisho. Inasikitisha Sana. Swali nimeulizwa, kwanini uliacha penzi lichipue namna hi Kama ulijua tangu mwanzo kuwa halina future. Jibu ninalo ila kapuni.
 
Mahakamani mbona simpo tu!

Tena mkimaliza kufunga ndoa mnatoka nje pale mnakula mihogo na kachumbari then haooo mnapanda bajaj wote wanne bajaj moja mnatosha kabisa
Hataki Kufunga ndoa Kwa Mkuu wa wailaya..aanataka kanisani kwao
 
Kwangu mie nikipendana na wa dini tofauti na yangu nabadili tu kwa ajili yake kama akitaka

Huwa naamini Mungu ni mmoja
Mimi nilikua tayari kubadili Dini...ila nimepitia transformation kubwa Sana...na Nimerudi Sana kwa Mumba want I...na nataka nifuatishe maamrisho ya Mumba wangu kindaki ndaki..na Hilo Ni katazo
 
Dini zikiwa tofauti, huchangia kuvunjika kwa penzi pindi utapopitia kwenye changamoto ya kimapenzi, katika sabu zoote zitazochangia msielewane, dini huongezea sababu ya ziada
Kusema ukweli kunasababu nyingine..but kwa Sasa Dini Ndo inanipa shida. Ila Kama Mpnz nlikua nimepata..amenionesha kweli mapenzi ya dhati yapo
 
mwanamke hana dini kamwe ufata dini ya mumewe angalizo siku hazigandi dada tafakali
 
Kusema ukweli kunasababu nyingine..but kwa Sasa Dini Ndo inanipa shida. Ila Kama Mpnz nlikua nimepata..amenionesha kweli mapenzi ya dhati yapo
Fanya kila kitu ila usije ukabadilisha dini kwa sababu ya mapenzi, kamwe.
Badili dini na sababu iwe ni kuwa unaipenda dini hiyo, kuna leo na kesho, mapenzi yakiisha je !
 
Mahakamani mbona simpo tu!

Tena mkimaliza kufunga ndoa mnatoka nje pale mnakula mihogo na kachumbari then haooo mnapanda bajaj wote wanne bajaj moja mnatosha kabisa
Imenibidi nicheke
 
Imeandikwa mke atamfuata mume. Pia mume ndio kichwa cha familia, au unataka mwenzio awe mkia akufuate?
Ndo Mana hatutumii maandiko yanayofanana...hayo maandiko Mimi siyajui
 
Back
Top Bottom