Muanzilishi sa mtandao wa wikileaks,hope umewahi kuusikiaHuyo Julian kafanya nini mpaka asubiriwe na askari
OhhhMuanzilishi sa mtandao wa wikileaks,hope umewahi kuusikia
Wakati mwingine unashauriwa kujua kuliko kukariri tu ningekuona mtu unayetaka kujua kama ungeuliza why Pakistan ni ya kwaza si Mossad, MI6 au CIA ningekwambia lakini kwa vile umekuja na jibu lako mfukoni ngoja nikuache hvyo hvyoUliposema tu Pakistan ni ya kwanza ndipo nilipodharau hili bandiko
Kwa kuiweka tu Pakistani nimekuona fake sihitaji ufafanuziWakati mwingine unashauriwa kujua kuliko kukariri tu ningekuona mtu unayetaka kujua kama ungeuliza why Pakistan ni ya kwaza si Mossad, MI6 au CIA ningekwambia lakini kwa vile umekuja na jibu lako mfukoni ngoja nikuache hvyo hvyo
Hahahah, ukizungumzia failed missions au Ops nadhani hata Mossad au CIA wanazo nyingi tu US kuna intelligence community 17 na kuifanya kuwa nchi ya kwanza Duniani kuwa na vyombo vingi vya Usalama , Ulinzi na Ujasusi lakini kuna wapuuzi wachache tu waliweza kuingia na kukaa miezi 3 ndani ya US na kupanga tukio ambalo mpaka kesho US hawezi kusahau pia Ubora wa Intelligence Agency unapimwa kwa vigezo si kwa kushindwa kitu au Mission kumbuka hapa tunazungumzia Human intelligence capabilitiesKwa kuiweka tu Pakistani nimekuona fake sihitaji ufafanuzi
Walishindwaje kunusa operation Geronimo wakati jamaa wamepenya na kunyakua taget yao bila wao kujua
CIA Hawaruhusiwi kisheria kufanya kazi ndani ya USA , FBI wanafanya kazi ndani ya USA tu au katika special occasion pale wanapoitwa ku provide utaalamu