Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 6,981
- 14,752
NSA na CIA ni vitu viwili tofauti...Snowden alikua CIA lakini alichukua na kuvujisha data za NSA
Edward Snowde alikuwa mfanyakazi wa NSA..
Hajawahi kuwa mfanyakazi wa CIA
NSA na CIA ni vitu viwili tofauti...Snowden alikua CIA lakini alichukua na kuvujisha data za NSA
Karudie kuisoma historia yake!..NSA na CIA ni vitu viwili tofauti...
Edward Snowde alikuwa mfanyakazi wa NSA..
Hajawahi kuwa mfanyakazi wa CIA
Haaaaaa wewe lazima utakua ndugu musibaCIA ni shirika la kipelelezi la marekan linalofanya upelelezi nje ya mipaka ya US. Maafisa wa CIA wamejaa dunian kote hata hapa Tanzania wapo mfano mimi hapa.
FBI hili ni shirika la kipelelezi linalo operate ndani ya mipaka ya US. Maafisa wake wamejaa marekani nzima,mfano mange kimambi
AhahahaFBI inaanza na herufi ya F na CIA inaanza na herufi ya C. Kwenye CIA herufi inayofuata ni I wakati FBI inafuata B. Halafu FBI inamaliza na I wakati CIA inamaliza na A.
Hiyo ndiyo tofauti MKuu.
Haahaha umetisha mkuuCIA ni shirika la kipelelezi la marekan linalofanya upelelezi nje ya mipaka ya US. Maafisa wa CIA wamejaa dunian kote hata hapa Tanzania wapo mfano mimi hapa.
FBI hili ni shirika la kipelelezi linalo operate ndani ya mipaka ya US. Maafisa wake wamejaa marekani nzima,mfano mange kimambi
FBI sio polisi ni kitengo kingine kinachojitegemea. Japokuwa mtu akiwa nq background ya kuwa polisi inakuwa rahis kuvhukuliwa.FBI ni polisi aliyespecialize kwenye upelelezi , CIA ni usalama wa taifa
Nani kasema? Wanafanya sana hata upelelezi wa ndani. Na kazi yao kubwa ni kufanya uchunguz nje na ndan ya america.CIA akikutwa anafanya upelelezi ndani ya marekani anakamatwa
Secret service si usalama wa taifa. Wale ni kitengo cha ulinzi wa rais. President protection.Usalama wa taifa wanaitwa wapo *Secret service*
NSA si usalama wa taifa. Ni shirika la kupepeleza mawasiliano... na hawa jamaa wanafuatilia email, mawasiliano ya simu, na mawasiliano yoyote yale.NSA ndo usalama was taifa
Snowden alianza NSA, CIA alikuwa kama attachment. Ila muajiri mkuu ni NSASnowden alikua CIA lakini alichukua na kuvujisha data za NSA
No, that was the end of your thinking capacity because you are too naive to see wittyIs this practically the end of your thinking capacity????
Kaka haukosawa, kumbuka tukio la la US EMBASSY BOMBING IN E.AFRICA, waliokuja ni FBI.CIA Hawaruhusiwi kisheria kufanya kazi ndani ya USA , FBI wanafanya kazi ndani ya USA tu au katika special occasion pale wanapoitwa ku provide utaalamu
kakaaaa,mzee baba siyo hivyo.Umeshindwa kuelewa CIA wanafsnya kazi ya kupata na kuchunguza taarifa international , kisheria haruhusiwi kufanya kazi ndani ya marekani , FBI wanafanya kazi ndani ya marekani na njee pale tu watakapoitwa na taifa usika kusaidia katika uchunguzi au operation, CIA wakipata taarifa ambayo inahusu mtu kufanya uharifu wanawaambia taarifa hizo FBI , CIA ni mashushu tena wengi hawajulikani.