Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

Wakati mwingine unashauriwa kujua kuliko kukariri tu ningekuona mtu unayetaka kujua kama ungeuliza why Pakistan ni ya kwaza si Mossad, MI6 au CIA ningekwambia lakini kwa vile umekuja na jibu lako mfukoni ngoja nikuache hvyo hvyo
Kwa kuiweka tu Pakistani nimekuona fake sihitaji ufafanuzi

Walishindwaje kunusa operation Geronimo wakati jamaa wamepenya na kunyakua taget yao bila wao kujua
 
Kwa kuiweka tu Pakistani nimekuona fake sihitaji ufafanuzi

Walishindwaje kunusa operation Geronimo wakati jamaa wamepenya na kunyakua taget yao bila wao kujua
Hahahah, ukizungumzia failed missions au Ops nadhani hata Mossad au CIA wanazo nyingi tu US kuna intelligence community 17 na kuifanya kuwa nchi ya kwanza Duniani kuwa na vyombo vingi vya Usalama , Ulinzi na Ujasusi lakini kuna wapuuzi wachache tu waliweza kuingia na kukaa miezi 3 ndani ya US na kupanga tukio ambalo mpaka kesho US hawezi kusahau pia Ubora wa Intelligence Agency unapimwa kwa vigezo si kwa kushindwa kitu au Mission kumbuka hapa tunazungumzia Human intelligence capabilities
 
Habari chiefs,

Hope mko poa na mishemishe zinaenda. Niende kwenye topic moja Kwa moja, ningependa kufahamu nini tofauti iliyopo Kati ya hizo taasisi mbili za kiintelejensia zinazo operate ndani ya nchi moja. Utendaji, mamlaka na je zinawajibika kwenye idara au wizara tofauti?

No hayo tu karibuni wajuvi wa mambo..
 
CIA Hawaruhusiwi kisheria kufanya kazi ndani ya USA , FBI wanafanya kazi ndani ya USA tu au katika special occasion pale wanapoitwa ku provide utaalamu

Ila practically CIA wanafanya kazi ndani ya Marekani pia
Kumbuka pia wako above FBI

FBI wanamandate ya Marekani nzima na kwenye balozi zote za Marekani dumiani utawakuta FBI hata Dar walikuja 98
 
Umeshindwa kuelewa CIA wanafsnya kazi ya kupata na kuchunguza taarifa international , kisheria haruhusiwi kufanya kazi ndani ya marekani , FBI wanafanya kazi ndani ya marekani na njee pale tu watakapoitwa na taifa usika kusaidia katika uchunguzi au operation, CIA wakipata taarifa ambayo inahusu mtu kufanya uharifu wanawaambia taarifa hizo FBI , CIA ni mashushu tena wengi hawajulikani.
 
The CIA and FBI are both members of the U.S. Intelligence Community. The CIA, however, has no law enforcement function. Rather, it collects and analyzes information that is vital to the formation of U.S. policy, particularly in areas that impact the security of the nation. The CIA collects information only regarding foreign countries and their citizens. Unlike the FBI, it is prohibited from collecting information regarding “U.S. Persons,” a term that includes U.S. citizens, resident aliens, legal immigrants, and U.S. corporations, regardless of where they are located.

FBI:: How does the FBI differ from the Central Intelligence Agency?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom