Tofauti ya Wsichana na Wavulana

Tofauti ya Wsichana na Wavulana

Red Scorpion

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2012
Posts
5,736
Reaction score
4,255
STORY ZA WASICHANA KTK SIM

Mary... Hallow mpenzii
Lily.... Niambie my dear
Mary..Pouwaa za siku jamani
Lily...Nzuri rafiki Yangu wa damu
Mary...Jioni nakuja kwako tule Na kunywa japo wine wanguu
Lily...Nakusubiri kwa hamuu mpenziiii

BAADA YA KUKATA SIMU...KILA MMOJA ANAWAZA

Lily...Huyu mchawi wa kike Leo anataka kuja kwangu wala hanikuti.
Mary..Hahahahaaaa Uwiiiiiiiiii huyu kahaba eti nakusubir Kwa hamuu, nani aende!!!

STORY ZA WAVULANA KATIKA SIMU

John...Niaje we mbwaa
Sam...Pouwa kichaa wanguu
John..Upo wap mpumbavu wewe
Sam...Niko hom, we ---- Uko wap?
John..Baadae nakuibukia jambaz langu tukale bata
Sawa... Pouwaa we mjinga nakusubiri

BAADA YA KUKATA SIMU...KILA MMOJA ANAWAZA

John...Dah baadae nikakae na mwanangu Sam sijamuona long time
Sam...John bwana akiwa Na pesa lazima anitafute mwanaeee.

FUNZO..

Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA

WAVULANA unaweza Kudhani hawapendani Kwa Maneno lkn WANAPENDANA..

Mpe TANO mchizi wako kudumisha upendo wetu wavulana...

High FIVE boys.
 
Wauzaji wanachukiana pale biashara zinapokuwa karibu na wateja wachache, siku zote wanunuzi hawagombani
 
hadithi yako inarufundisha nini..??

Baadhi ya Wasichana hujifanya wanapendana Kwa maneno lkn ni Kwa nje tu!! lkn WANACHUKIANA. WAVULANA unaweza Kudhani
hawapendani Kwa Maneno lkn WANAPENDANA..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom