Tofauti kati ya toyota vitz na toyota duet

Top Thinker

Senior Member
Sep 8, 2011
183
125
Habari wakuu,

naomba mwenye ufahamu wa haya magari aniambie.

Gari gani ni nzuri zaidi kati ya toyota duet na toyota vitz zote zina engine sawa (950cc)

tofauti ninayohitaji ni kwa upande wa gharama za ununuzi, uendeshaji (mf. Spares) na uimara wa gari.

Ahsanteni.
 
Nyie vijana bana, si u-google?
Anyway, duet ina engine kimeo sana, ni 3 piston ile!
Vitz ni sawa na corolla kiaina, engine vvti.
 
ahhhhh...me i thought ulikuwa hujui KABSAAA tofauti nikaanza kushangaa...hii moja ni V-I-T-Z na nyingine ni D-U-E-T lakini zote ni TOYOTA.
 
Ikiwa zote zinakula sawa mafuta, mimi ningechagua zaidi Vitz kuliko Duet kutokana na nafasi iliyonayo ndani.
Other things like odometre, YOM, Price, Accident History, etc kept constant.
 
Nyie vijana bana, si u-google?
Anyway, duet ina engine kimeo sana, ni 3 piston ile!
Vitz ni sawa na corolla kiaina, engine vvti.

Duet ina piston 3 na vitz ni nne but vitz ina engine ya vvti ambayo inasumbua sana na spea za vitz ziko juu sana kuliko za duet, duet iko juu unaweza ukapita kwenye barabara mbaya kama ukiiongeza rim na ukubwa wa matairi lakini vitz iko chini sana,nasema haya mm mwenyewe nishamiliki hizo gari zote mbili na niliuza vitz baada ya injini kuanza kusumbua
 
utakuwa ulichokomoa na mafundi vimeo!!
Duet hovyo kabisa......
Anyway, mimi sijawahi kumiliki haya magari, lakini for sure, Vitz unaweza hata kuinyanyua kama 3inch hivi na isilete problem.
 
Zote hizo ni baba mmoja mama mmoja, tofauti ni kila moja ina fikra zake na muonekano wake.
 
Back
Top Bottom