tofauti kati ya SLEEP na HIBERNATE..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

tofauti kati ya SLEEP na HIBERNATE.....

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by tovuti, Apr 27, 2012.

 1. tovuti

  tovuti Senior Member

  #1
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wana Jf mimi natumia window 7, wakati unazima computer kuna option mbili unapewa ya Sleep au Hibernate..

  Naomba kujua kuna tofauti gani kati ya hizi mbili na zinatumikaje??
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Sleep is a power-saving state that allows a computer to quickly resume full-power operation (typically within several seconds) when you want to start working again. Putting your computer into the sleep state is like pausing a DVD player-the computer immediately stops what it's doing and is ready to start again when you want to resume working.Hibernation is a power-saving state designed primarily for laptops. While sleep puts your work and settings in memory and draws a small amount of power, hibernation puts your open documents and programs on your hard disk, and then turns off your computer. Of all the power-saving states in Windows, hibernation uses the least amount of power. On a laptop, use hibernation when you know that you won't use your laptop for an extended period and won't have an opportunity to charge the battery during that time.
   
 3. tovuti

  tovuti Senior Member

  #3
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 160
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sijui nini
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
 5. a

  alikhalef JF-Expert Member

  #5
  Apr 27, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 707
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  sleep computer inafanya yafuatayo:-
  -display inazima, lakini computer inakuwa on.
  -removable hardware zote zinazima kama vile modem inakuwa disconnected
  -ukiiwasha utakuta kazi zote zipo opened. hazijifungi

  Ni nzuri kama unataka kuondoka kwa ghafla na unarudi mapema ili upate kuendelea na kazi zako.

  HIBERNATE ni kama sleep lkn hii inakuwa computer inazima kabisa ukuwasha unaendelea na kazi zako tuu na computer inawaka haraka haraka kwasababu program zako kazijajifunga.
   
 6. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2012
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Sleep inaendelea kutumia umeme ili kulinda vitu vilivyo kwenye RAM.

  Hibernate inachukua kila kitu kilicho kwenye RAM inaisave kwenye hard drive kisha inazima PC kabisa, ukiwasha inarudisha vitu kwenye RAM ili uweze kuendelea kama ilivyokuwa.
   
 7. N

  N series Senior Member

  #7
  Apr 27, 2012
  Joined: Jul 14, 2011
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  just simple, highlight curso yako kwenye hayo maandishi, SLEEP, HIBERNATE,na mengineyo,then kuna maandishi yatajitokeza hapo yanayotoa mwongozo, yasome upate meaning....
   
 8. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Na haya yote ma-sleep na hibernate unaweza kuyafanya kwa muda gani??? Binasi huwa ninalihibernatisha li laptop langu kwa usiku mzima asubuhi naliwasha nnapoingia job, napenda kueleweshwa kama muda ninaofanya SLEEP na HBT unatakiwa kuwa ni kwa kipindi gani, je ninaweza kuisleepisha laptop yangu kwa 9hrs, sijui nini
   
 9. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  Obe maelezo aliyoyatoa Kang hapo juu yamejieleza vizuri sana kwa kiswahili...kuhusu utatumia wapi ni inategemea na matumizi yako...kila moja kati ya sleep na hibernation ina advantage na disadvantage zake...mfano hibernation inakuwa haitumia battery charge wakati sleep battery inakuwa inatumika lakini hibernation disadvantage yake ni it consumes 2gb in active partition(ukiona umeset hirbenation ujue 2gb ya hard disk yako inatumika kwa ajili ya ku hibernate tu) so inakupunguzia nafasi katika hard disk yako ambayo ungeweza kutumika kwa kuweka vitu vingine....hivyo kama niliyosema inategemea na uhitaji wako....

  USHAURI: Usipende sana ku hibernate au ku sleep kompyuta yako pale ambapo hutaitumia kompyuta kwa muda mrefu...pendelea kuzima (shut down) isipokuwa tu pale inapobidi labda kuna kazi unafanya na unataka kutoka mara moja ukirudi uendelee then ndo una hibernate au sleep...ipe kompyuta yako muda wa kupumzika. isitoshe ukizima ma kuwasha kompyuta yako husaidia kurekebisha vitu mbalimbali ndani ya system vikae sawa na ndo maana kuna program nyiingi sana uki install tu ukimaliza unaambiwa u restart pc yako!!!
   
 10. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #10
  Apr 27, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Monitor is going to sleep
   
 11. Obe

  Obe JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2012
  Joined: Dec 31, 2007
  Messages: 5,982
  Likes Received: 20,377
  Trophy Points: 280
  Niseme nini!! sijui nini mkuu, umenisaidia sana na kila mara nimekuwa niki HBT laptop yangu, kwa almost 6hrs, sasa nimejifunza na nimekuelewa sana, Thx mdau, pamoja sana[​IMG]
   
Loading...