nyonyoma
Member
- Feb 26, 2020
- 5
- 7
Aaaha napenda tufikie hatua hiyo nikiwa hai niifokee kweli kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani?Yaani mwananchi tu wa kawaida,mchumia tumbo aifokee serikali?....thubutu.
Ha ha ha,mkuu usifadhaike,saa ingine tunachombeza tu kufikisha ujumbe,uwage unasoma katikati ya mistari.Dahhh kweli ubaguzi umekujaa. Mchumia tumbo ndio raia wa aina gani?