Tofauti kati ya Motel, Hotel, Lodge, Lounge & Guest

Ghaysh

Member
Feb 12, 2015
24
43
MOTEL inakuwa kando ya barabara kuu ya kwenda mikoa fulan na ina uwezo wa kuhudumia wateja Zaid ya 200 kwa wakat mmoja na huduma zake kuu ni vyakula, toilet kwa wasafiri na wasio wasafiri,vinywaj kupunga upepo kwa mda mchache.

Hotel ni sehem expensive, inapaswa kuwa maeneo ya mijini,ina huduma za kumbi za mikutano,kumbi za sherehe, vyakula vya nchi tofauzi,mahali pa kulala,vinywaji aina mbali mbali kwa bei ya juu,sehem.ya gym,massage.Swiming, Nk.

Lodge .inapaswa iwe maeneo ya pori na iwe na vitu vya asili kuanzia vyakula had malazi lodge hujengwa kama kivutio cha wagen na mapumziko ya wagen wanaoenda kutembelea mbuga za wanyama au milima na vitu vyote vyenye vivutio vya asili .Huduma ni kama za hotel.ila lodge inakuwa gharama Zaid kwasababu ipo sehem ya pori na utofauti wake hotel inajengwa mjini lodge porini.

Lounge. Hii ni sehem.ya mapumziko ya mda .mfupi yenye utulivu ina huduma ya WI-FI chakula na vinywaji.

Guest
Hii hujengwa popote na bei zake huwa ni chini hupokea wageni wa aina yoyote huduma yake kuu ni kupumzika na wanatoa huduma had za nusu siku
 
Ufafanuzi mzuri
 
ina huduma ya WI-FI! Hivyo kabla ya ujio wa WI-FI hazikuwepo!
 
Kimsingi hapo umeshare uelewa wako na sisi, you didnt state facts.
 
Hotel+restaurant+motors packing=Motel, especially along side the high way.!
Screenshot_20230213-052409.jpg
 
Back
Top Bottom