TOFAUTi KATI YA MIMBA NA UJAUZITO

Wingu

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,318
401
Kwa wale akina dada/wamama ambao hawajaolewa ni kuwa wanakuwa wamepigwa mimba.Kwa waliolewa ni wajawazito.Habari ndo hiyo napita mtaani tutaonana baadae
 
Huyu ng'ombe (mnyama) ana mimba na atazaa. huyu dada ni mjamzito na atajifungua. (tafsida)
 
mi nadhani ile hali ya kuwa na mimba inaitwa ujauzito...yaani mimba ni kile kiumbe kilichobebwa na ujauzito ni hali ya kuwa na hicho kiumbe...
 
Back
Top Bottom