IT na CS ni tofauti,asomae pure CS achana na za magumashi ni sharti awe kasoma advanced mathematics na physics cause ndani yake kuna electronics,data structure & algorithms,Mathematics(achana na basic wasomayo hata accountants na IT).
Kwa ufupi CS inaimeza IT ie aliyesoma CS ana uwezo wa kufanya almost kila afanyacho aliyesoma IT and the vice versa is ~
Sio kweli kabisa, kwa mfano aliyesoma CS atakuwa anajua jinsi Algorithm ya Dijkstra inavyofanya kazi na anaweza kuiimplement katika lugha fulani, moja ya matumizi ya hii algorithm ni kutafuta routes katika network ya kompyuta.
Lakini IT wa networking ndo ataweza kuikonfigure router ya Cisco ambayo inatumia hii algorithm ili network traffic iende kule inapotakiwa kwenda, pamoja na kwamba huyu IT hawezi kuiimplement hiyo Algorithm na anaijua kwa juu tu jinsi inavyofanya kazi.
Same kwenye Database CS atakuwa anajua Set Theory ambayo ndo root ya RDBMS zote lakini hatajua kutokana na elimu yake jinsi ya kuadmin MS SQL Server.
Hizi ni skills mbili tofauti na zote muhimu, bila CS kutakuwa hakuna IT na bila IT CS itakuwa haina practical application nyingi.
Wadau Vipi Kuhusu ICT Nayo Tuiweke Kundi Gani Hapo?
Its Clearly that most of those wachangiaji wa hii sredi ni Pro CS. Me sijasomea makitu hayo lakini kwa kanoleji kangu hapa mleta maada unless he reffered CE maana there is slight different kati ya IT na CS. Unless u make comparison with Computer Engineering
so unataka aminisha watu kuwa mtu alosoma IT haweza tengeneza usable application programs? kazi yake ni kutumia tu ama? computer science haina tofauti sana na IT ila computer Engneering ndo inatofauti sana na IT keep that in mind... nina degree ya IT na chuo nilichosoma walikua wanafundisha computer science pia ni module chache sana tumepishana
Sasa wewe hapo mwisho ndio umetofautishaje?Mimi nimesoma course zote mbili, tena nimesomea huko Ujerumani. Nilichogundua ni kwamba, tofauti kubwa kati ya IT na Computer Science ni, IT ni International Technology ambapo COmputer Science ni CS.
mbna aspect kama complexity theorem ,automation,Turing machines huwaga hamzitaji kila mtu anaishia kusema algorithm na codes au ndo Yale Yale hesabu janga la taifacomputer science refers to the processes of creating usable computer programs and applications and the theories behind those processes. An employee in this industry will likely be doing a lot of independent work applying complex algorithms and writing code.
IT professionals deal with the application of computer programs to solve business processes. Information technology has become an essential piece of every business planfrom large, multinational corporations to small, family-owned businesses.
Nilikuwa na mwelezea mtu kwamba IT ni kama a topic in computer science, nikimaanisha IT iko ndani ya Computer science hatuku pata suluhusho sababu alikataa. Naomba nitoeni matongo tongo kama nimekosea
mbna aspect kama complexity theorem ,automation,Turing machines huwaga hamzitaji kila mtu anaishia kusema algorithm na codes au ndo Yale Yale hesabu janga la taifa
Nimekwqzika sana kati ya hivi vipengele naomba ufafanuzi wa kinambna aspect kama complexity theorem ,automation,Turing machines huwaga hamzitaji kila mtu anaishia kusema algorithm na codes au ndo Yale Yale hesabu janga la taifa
Computer Science and Engineering ni sawa na mtu aseme computer Engineering. Hii ni kozi inatolewa sana na vyup vya India.Nimekwqzika sana kati ya hivi vipengele naomba ufafanuzi wa kina
Computer science & Computer science and engineering
Yawezekana walikuwa wanawaover dose...inakubidi ukadai pia cheti cha computer science hapo chuoni!! Mimi sijasoma IT wala computer science... nina degree ya IT na chuo nilichosoma walikua wanafundisha computer science pia ni module chache sana tumepishana