Mchawi_mweupe
Member
- Jul 31, 2025
- 9
- 22
Utangulizi
Watu wengi wanachanganya fedha na utajiri wakifikiria ni kitu kimoja,lakin ukwel ni kwamba mtu anaweza kuwa na fedha lakin asiwe tajiri.
Tofauti kati ya fedha na utajiri
Fedha ni kiasi cha pesa mtu ambacho anatumia kila siku kwa mahitaji mbalimbal,lakin utajiri ni jumla ya vitu vyote vyenye thaman mtu anavyomiliki mfano nyumba,aridhi,ujuzi na fedha pia.
Mfano. Mkulima mwenye hekari 10 za shamba anaweza asiwe na fedha mkonon ila akawa na utajiri wa kudumu kwa sababu shamba hilo linaweza mzalishia mda wowote .Tuwekeze kwenye kutafuta utajiri