Tofauti na mfanano wa kikazi na kimamlaka kati ya CIA na FBI

ufyudhi

JF-Expert Member
Apr 29, 2015
772
536
Habarini wanajamvi..

Kwa muda mrefu tumekuwa tukiyasikia haya mashirika mawili katika vyombo vya habari na hata kwenye filamu mbalimbali...

Nikiamini kwamba mashirika haya yana lengo kuu la kulinda ulinzi na usalama hasa Wa nchi ya marekani, lakini Mara nyingi nimeona yamekuwa kwa namna moja ama nyingine yakitofautiana kiitikadi kabisa, na inapotokea Wa upande mmoja akahusishwa kuwa na mawasiliano ama uhusiano na Wa upande mwingine basi huchukuliwa hatua na huwa ni ishu kubwa sana...

Kwa wenye ujuzi naomba mje mtupe elimu/majibu kinagaubaga Juu ya haya maswali..

1) malengo ya kila mmoja in yapi?

2)utofauti/mfanano wao ni UPI???

3) kwa nini hawapendi kabisa kushirikiana katika mission??

4) mwajiri/mmiliki/bosi Wa kila mmoja ni nani???

Nawasilisha
images%20(43).jpg
images%20(44).jpg

===================

Maoni ya Mdau

izzo

CIA Central Intelligence Agency
CIA ndio taasisi namba mbili duniani ya Intelligence Agency kwa ubora baada ya inter - service intelligence (ISI) ya Pakistan ikiwa na wafanyakazi wanaokadiliwa 21,642 duniani kumbuka mambo ya ujasusi ni siri so kuna watu wengine ni undercover agents so inakuwa ni ngumu kwa nchi kusema ina wafanyakazi wangapi ktk idara fulani CIA ilianziswa mwaka 1947 na makao yake makuu yakiwa Langley, Virginia, U.S. na kazi yao ni (CP) collecting na processing information so ukiangalia NSA na CIA wamezidiana vitu viliwi ambavyo ni Monitoring , Data kwani CIA yy anacollect na kuprocess information tu

CIA wanatumia humani kama kitendea kazi chao kikubwa wakati NSA anatumia Technology kama kitendea kazi chake kikubwa lakni mpaka leo mabingwa na makingpin wa ujasusi wanakubaliana kuwa human intellgence ndo inaleta matokeo chanya zaidi ya Tech intellgence mfano ukitumia mtu unahukakika wa kupata taarifa sahihi na zenye uhakika zaid kuliko ukitumia tech ndo maana kuna mahusiano ya karibu sana kati ya Langley, Virginia, U.S. na Fort Meade, Maryland kwani tech inaweza kuwa hacked na kukuletea majibu ya uongo lakini huwezi kumuhack binadamu sana sana utamkamata tu pia hapo unaweza usipate information yeyote hata kama ukimtesa au kumuua

FBI ( Federal Bureau of Investigation) hii inajulikana kama domestic intelligence and security ilianzishwa mwaka 1908 na ikiwa na wafanyakazi zaidi ya 35,239 makao makuu yake ni Northwest, Washington, D.C. kazi yake kubwa ni (CCI) counterterrorism , counterintelligence na investgations federal crimes

Ikumbukwe US ni muunganiko wa nchi (states) 50 zote zikiwa na kila kitu chake kuanzia police na sheria zake ndo maana unaweza kukuta kuna sheria hii kwa state fulani ni kosa kwenye states nyingine si kosa so kukiwa na mkanganyiko huu kunaitajika kuwe na taasisi moja yenye mamlaka zaidi ya police wa states husika ndo maana kukaundwa FBI kama ni US states police wenye kudeal na federal case na federal crimes nchi nzima na wanamamlaka juu ya states police zote kama NYPD,LAPD,CHPD na zingine zote pia ktk balozi zote za US dunian FBI wapo kama (ESA) kwani sheria za kimataifa zinatambua kama ubalozi ni sehemu ya nchi inayoumiliki huo ubalozi ndo maana mpaka leo police wa Uingereza wapo nje ya ubalozi wa Ecuador , London wanamsubili Julian Assange mmiliki wa mtandao wa wikileaks kwani wakiingia ndani ya ubalozi itakuwa ni act of war kwani ni sawa na kuivamia nchi nyingine

Kumbuka Ndani ya US kuna US intelligence community zilikuwa 16 ila kwa sasa zipo 17 lakini zote zinafanya kazi kwa kutegemeana na kuna zingine hata ukzisema hakuna mtu anayezigua ila kuna zle zinajulikana kama "Big Five"
1 CIA
2 NSA
3 Secret Service
4 FBI
5 Homeland Security

Vyote vikiwa vinadeal na
1 Security
2 Defence
3 Intelligence

Vyote vikifanya kazi kwa kujitegemea pia unatakiwa kujua mambo ya intelligence ni siri zsana mtu pekee anayetakiwa kupata report hzo ni Rais pekee lakini baada ya September 11 mambo yalibadilika

DNI taasisi hii imeanzishwa April 22,2005 kwa sheria ya National security act ya mwaka 1947 na madhumuni yake yalikuwa kufanya kazi chini ya CIA ktk mambo ya kudeal na ugaidi na office zake zilikuwa Fairfax, Virginia, United States yalipo makao ya CIA

July ,30,2008 rais George W. Bush kwa kutumia Executive order number 13470 akifanya amendments Executive order yake ya April 22,2005 Executive order number 12333 iliyotumika kuanzisha DNI ambayo ilikuja kusainiwa na rais Obama october 22 na kuipatia mamlaka DNI kuchukua overall responsbility ya kusimamia all intelligence community na kuziamisha office zao kutoka Fairfax, Virginia, United States mpaka Washington Fort Meade, Maryland , U.S. yalipo makao makuu ya NSA kazi ya taasisi hii ya DNI (Director of National Intelligence) ni kupokea taarifa zote za kijasusi na kiusalama kutoka kwa taasisi zote 16 zilizo ndani ya US zinazo deal na Usalama, Ujasusi na Ulinzi ambapo Director wa DNI ndio anakuwa msemaji mkuu katika maswala ya kiusalama , Ujasusi katka kikoa cha asubuhi The President's Daily Brief ( PDB ) ambapo jamii zote 17 za kiusalama kuanzia Central Intelligence Agency , the Defense Intelligence Agency , the National Security Agency , the Federal Bureau of Investigation and other members of the U.S. Intelligence Community zinawakiliswa na Director wa DNI

LAPD NI Los Angeles Police Department ( yaani ni polisi wa kawaida wa mji wa Los Angeles kila mji una polisi wake)

CIA ni shirika la ujasusi linazuia tukio lolote lisitokee kwa USA kwa kitokea nje ( ni kama they have licence to kill) ndio maana hawataki kufanya operation zao ndani ya usa unless kuwepo na fbi officer kwenye hiyo operation ili kuweza kulinda haki ya kuishi ya raia wa usa.

FBI wao ni shirika la upelelezi ( hasa matukio makubwa makubwa ingawa hata madogo wanaingia kama polisi wakiomba msaada wao)

Note: ni mawazo yangu kutokana na kuangalia movies
 
CIA Central Intelligence Agency
CIA ndio taasisi namba mbili duniani ya Intelligence Agency kwa ubora baada ya inter - service intelligence (ISI) ya Pakistan ikiwa na wafanyakazi wanaokadiliwa 21,642 duniani kumbuka mambo ya ujasusi ni siri so kuna watu wengine ni undercover agents so inakuwa ni ngumu kwa nchi kusema ina wafanyakazi wangapi ktk idara fulani CIA ilianziswa mwaka 1947 na makao yake makuu yakiwa Langley, Virginia, U.S. na kazi yao ni (CP) collecting na processing information so ukiangalia NSA na CIA wamezidiana vitu viliwi ambavyo ni Monitoring , Data kwani CIA yy anacollect na kuprocess information tu
CIA wanatumia humani kama kitendea kazi chao kikubwa wakati NSA anatumia Technology kama kitendea kazi chake kikubwa lakni mpaka leo mabingwa na makingpin wa ujasusi wanakubaliana kuwa human intellgence ndo inaleta matokeo chanya zaidi ya Tech intellgence mfano ukitumia mtu unahukakika wa kupata taarifa sahihi na zenye uhakika zaid kuliko ukitumia tech ndo maana kuna mahusiano ya karibu sana kati ya Langley, Virginia, U.S. na Fort Meade, Maryland kwani tech inaweza kuwa hacked na kukuletea majibu ya uongo lakini huwezi kumuhack binadamu sana sana utamkamata tu pia hapo unaweza usipate information yeyote hata kama ukimtesa au kumuua

FBI ( Federal Bureau of Investigation) hii inajulikana kama domestic intelligence and security ilianzishwa mwaka 1908 na ikiwa na wafanyakazi zaidi ya 35,239 makao makuu yake ni Northwest, Washington, D.C. kazi yake kubwa ni (CCI) counterterrorism , counterintelligence na investgations federal crimes

Ikumbukwe US ni muunganiko wa nchi (states) 50 zote zikiwa na kila kitu chake kuanzia police na sheria zake ndo maana unaweza kukuta kuna sheria hii kwa state fulani ni kosa kwenye states nyingine si kosa so kukiwa na mkanganyiko huu kunaitajika kuwe na taasisi moja yenye mamlaka zaidi ya police wa states husika ndo maana kukaundwa FBI kama ni US states police wenye kudeal na federal case na federal crimes nchi nzima na wanamamlaka juu ya states police zote kama NYPD,LAPD,CHPD na zingine zote pia ktk balozi zote za US dunian FBI wapo kama (ESA) kwani sheria za kimataifa zinatambua kama ubalozi ni sehemu ya nchi inayoumiliki huo ubalozi ndo maana mpaka leo police wa Uingereza wapo nje ya ubalozi wa Ecuador , London wanamsubili Julian Assange mmiliki wa mtandao wa wikileaks kwani wakiingia ndani ya ubalozi itakuwa ni act of war kwani ni sawa na kuivamia nchi nyingine

Kumbuka Ndani ya US kuna US intelligence community zilikuwa 16 ila kwa sasa zipo 17 lakini zote zinafanya kazi kwa kutegemeana na kuna zingine hata ukzisema hakuna mtu anayezigua ila kuna zle zinajulikana kama "Big Five"
1 CIA
2 NSA
3 Secret Service
4 FBI
5 Homeland Security

Vyote vikiwa vinadeal na
1 Security
2 Defence
3 Intelligence

Vyote vikifanya kazi kwa kujitegemea pia unatakiwa kujua mambo ya intelligence ni siri zsana mtu pekee anayetakiwa kupata report hzo ni Rais pekee lakini baada ya September 11 mambo yalibadilika

DNI taasisi hii imeanzishwa April 22,2005 kwa sheria ya National security act ya mwaka 1947 na madhumuni yake yalikuwa kufanya kazi chini ya CIA ktk mambo ya kudeal na ugaidi na office zake zilikuwa Fairfax, Virginia, United States yalipo makao ya CIA

July ,30,2008 rais George W. Bush kwa kutumia Executive order number 13470 akifanya amendments Executive order yake ya April 22,2005 Executive order number 12333 iliyotumika kuanzisha DNI ambayo ilikuja kusainiwa na rais Obama october 22 na kuipatia mamlaka DNI kuchukua overall responsbility ya kusimamia all intelligence community na kuziamisha office zao kutoka Fairfax, Virginia, United States mpaka Washington Fort Meade, Maryland , U.S. yalipo makao makuu ya NSA kazi ya taasisi hii ya DNI (Director of National Intelligence) ni kupokea taarifa zote za kijasusi na kiusalama kutoka kwa taasisi zote 16 zilizo ndani ya US zinazo deal na Usalama, Ujasusi na Ulinzi ambapo Director wa DNI ndio anakuwa msemaji mkuu katika maswala ya kiusalama , Ujasusi katka kikoa cha asubuhi The President's Daily Brief ( PDB ) ambapo jamii zote 17 za kiusalama kuanzia Central Intelligence Agency , the Defense Intelligence Agency , the
National Security Agency , the Federal Bureau of Investigation and other members of the U.S. Intelligence Community zinawakiliswa na Director wa DNI
 
Je naweza kuwa LAPD, wakati huohuo CIA Na tena hapo hapo FBI?
LAPD NI Los Angeles Police Department ( yaani ni polisi wa kawaida wa mji wa Los Angeles kila mji una polisi wake)

CIA ni shirika la ujasusi linazuia tukio lolote lisitokee kwa USA kwa kitokea nje ( ni kama they have licence to kill) ndio maana hawataki kufanya operation zao ndani ya usa unless kuwepo na fbi officer kwenye hiyo operation ili kuweza kulinda haki ya kuishi ya raia wa usa.

FBI wao ni shirika la upelelezi ( hasa matukio makubwa makubwa ingawa hata madogo wanaingia kama polisi wakiomba msaada wao)

Note: ni mawazo yangu kutokana na kuangalia movies
 
Wakati wajuzi wa haya mambo wa kitirika naomba na mie ni ulize kuhusu Scotland yard je ni kweli kuwa wana migambo wao wasio tajwatajwa na wanaita Scotland foot?

Je ni kweli pia kuwa, kila shiraka la kijasusi lazima liwe na wing ya migambo?
 
Back
Top Bottom