Tofauti kati ya CCM na CHADEMA hii hapa

Tofauti kati ya CCM na CHADEMA hii hapa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
137,683
Reaction score
272,542
Tofauti Yetu na Wao - NoHateNoFear  - No_Retreat_No_Surrender ( 640 X 640 ).jpg


Ndio maana umefika wakati sasa wananchi wakiwemo hata viongozi wastaafu wanaona kuna haja kabisa nchi ikabidhiwe kwa CHADEMA ili kuendeleza Utangamano wa Kitaifa.

Nakala : Kawe Alumni
 
Vyama vyote hivyo ni hovyo sana na vina vingozi ambao ni hovyo sana. Chama ambacho kipo smart nchini Tanzania ni ACT- WAZALENDO tu.
 
CCM wanapambana kwa kila njia kupata madaraka nyie mna take it easy.
 
Vyama vyote hivyo ni hovyo sana na vina vingozi ambao ni hovyo sana. Chama ambacho kipo smart nchini Tanzania ni ACT- WAZALENDO tu.
Tanzania hamna vyama vya siasa ni mwendo wa kubangaiza kama sisi wananchi tu. Na havitapatikana hadi sisi kama jamii tuwe smart. Tatizo siyo CCM,CHADEMA wala ACT bali ni jamii kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom